maramia
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 2,030
- 1,345
Tunalipia bill ya matumizi ya maji kupitia ankara ya matumizi inayosomwa kwenye mita za idara ya maji.
Eti gharama ya matumizi ya maji unayolipa ndiyo gharama ya maji taka unayolipa. Hivi katika akili ya kawaida hapa hatuibiwi kweli?
Fikiria kwa mfano kwa mwezi umetumia maji ya sh 34,600 na baada ya kuyatumia yakageuka kuwa maji taka, unayalipia tena 34,600 maji hayo hayo wakati inawezekana baada ya matumizi hata nusu yake haiingii tena kwenye mzunguko wa maji taka.
Kwa mtazamo wangu inawezekana huo ulikuwa ni moja ya wizi uliokuwa ukifanywa na serikali iliyooza ya bw Kikwete.
Chunguzeni.