Recent content by GUMADI

  1. G

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya ualimu Sera iangaliwe upya

    hapo umenena
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kuzuia baadhi ya mavazi CBE ni kinyume na haki za binadamu

    wadau me naona huu mpango uko sawa kabisa na vyuo vingine vichukue hatua hao wanaoleta ubishi wakatafute vyuo wanavyosoma uchi darasani!! inasikitisha sana mtu anavaa vazi la ufukweni darasani.......unamwonesha nani nguo zako za ndani??? huo ni upuuzi mtupu unaingia darasani watu...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliochaguliwa na TCU second round haya hapa

    jamani vipi wale tulio kosa mkopo matumaini ya kufikiliwa yapo
  4. G

    JamiiForums Tanzania Loan board yatoa loan breakdown

    itapendeza sana
  5. G

    JamiiForums Tanzania Heslb div 3.14 mpaka 3.16 kupewa mkopo ndo sera yenu.

    <br /> <br /> du umenikumbusha mbali sana pale pugu boys
  6. G

    JamiiForums Tanzania Habari mbaya kwa waliokosa mkopo.

    tuwe na subira mambo yatakua poa,hata wakitupa 40%
  7. G

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waliokosa mkopo ina maana pesa hazipo? Mnakubali hivi hivi tuu... Wadau mnaonaje?

    samahani kiongozi nimakosa ya kiufundi yametokea hiyo nilikua na mjibu mwana jf aliyekua anawatetea HESLB,samahani kiongozi
  8. G

    JamiiForums Tanzania Second applicants wa tcu inamaana wametoswa?

    ok subira ya vuta kheri wahenga walonga
  9. G

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Heslb!

    jamani sirikali ni sikivu itakua imesikia
  10. G

    JamiiForums Tanzania Takwimu ya bodi ya mikopo mwaka huu hii hapa

    hapo kweli mkubwa
  11. G

    JamiiForums Tanzania TCU na HESLB: Mkanganyiko huu UNATATUKAJE?

    duuu! hii ndo bongo land kila kitu magumashi jamani mlio huko jikoni hebu kesho mtie timu bodi ya mikopo mpaka kieleweke wakubwa labda watasikia kilio chetu inauma sana kama tume iliyo teuliwa na mjomba inakuja na ishu mbovu
  12. G

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waliokosa mkopo ina maana pesa hazipo? Mnakubali hivi hivi tuu... Wadau mnaonaje?

    <br /> <br /> inaonekana we ni fisadi naomba unyamaze kabisa 2015 hampati kura hata chembe
  13. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliokosa mkopo

    ok jewale ambao tumekosa mkopo na tumepangwa MUKO,SUA,UDSM tufanyeje? ama kweli nchi imeuzwa
Back
Top Bottom