Wingi wa kozi za IT vyuo vinatosheleza ajira nchini au didimiza.. Mf. Computer Science,IS. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wingi wa kozi za IT vyuo vinatosheleza ajira nchini au didimiza.. Mf. Computer Science,IS.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Hau, Nov 22, 2011.

 1. H

  Hau Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndugu zangu watanzania naomba nipate ufafanuzi juu ya jambo hilo maana tunaona asilimia kubwa ya vyuo nchini wanatoa kozi hizo. Wengine wanasoma kwa vitendo zaidi lakini wengine notes sana lakushangazwa tunaona mpaka mitaani kozi ndio hizo hizo zafundisha sana. Ukimaliza chuo kuna professional certificate ccna,comptia A+,microsoft, nk. Je mpaka sasa sijaona programmer ambaye tuseme mtanzania, tufanyaje tulikomboe taifa. Isijekuwa baadaye ikajakuwa jangwa la taifa wenzetu wamasomo ya biashara kunaunafuu kidogo no practical sana. Huku kama una practical ndio kabisa utajua kuformat tu.
   
 2. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Acha wasome tu kwani kuna tatizo gani la watu kupata maarifa? Swala la kutoka kimaisha sio mpaka huwe na shahada ni mipango yako tu binafsi.

  Rai yangu ni kuwaamasisha wote waliopo vyuoni na wote wanaotarajia kuingia vyuoni kuwa maisha hayana kanuni maalum na inapotokea nafasi kokote pale cha kufanya ni kuandaa nguvu na kukabiliana na hiyo nafasi.COURSE yoyote ni hot cake inategemea na muhusika atakavyo itumia fani yake katika maisha yake.
   
 3. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu,sina cha kuongeza!Belivdat
   
 4. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,754
  Likes Received: 1,791
  Trophy Points: 280
  hamy d you made me hapy......ni kweli sio lazima uwe na shahada ila ni mipango.......yako unavyoipanga kuna watu hawana shahada wala astashahada wana short course.....za computer ila wanapata salary za juu kuliko ww mwenye masters.....hahahahaha
   
 5. Jean chill

  Jean chill Member

  #5
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wewe kinachokushangaza ni nini? Watu kuwa wengi kwenye kozi hiyo, au vyuo vingi kutoa kozi hiyo. Umesema watu wa biashara ni nafuu wanaonyesha kukomboa Taifa, nakubaliana na wewe, ila wajua kama biashara ya sasa haiendi bila Technologia ya Mawasiliano? Umesema wanachojua wengi ni kuformat tu... Ok acha kila mmoja aelewe kutokana na uwezo wa kichwa chake, Umesahau kama umeweza kuposti comment yako humu kwa kwa ajili ya IT, Matumizi ya kutuma pesa popote ulipo kwa kutumia simu huoni kama ni msaada kwa jamii? Waweza chukua pesa muda wowote kwa kutumia Automated Teller Machine (ATM) aka Cashpoint, unafikiri ni Commerce ndo inayofanya kazi hiyo? Huoni ni jinsi gani IT inavyosaidia kuelimisha kisiasa, kiuchumi, na hata kiutamaduni...? Umepost hii status bila kufikiria au? Nahofia kuwa waweza kuwa um1 kati ya watu ambao wanaofikiri baada ya kutenda...! Fungua macho yako mkuu, Au kuna IT aliyekuformatia PC yako na kukupotezea DATA...? Basi ukiona hivo jua huo ndo uwezo wake yeye. Sidhani kama kuna kozi yeyote ile duniani ambayo ukisoma uelewa wa watu wote unalingana na sidhani pia kama vyuo vyote vinalingana kwa uwezo wa kufundisha... Wewe ulipokuwa unasoma, au kama bado wasoma, Je wote mwaelewa sawa, au mlikuwa mkielewa sawa?

  Ushauri wangu, Fikiri kabla ya kutenda, au kunena.
  Asante
   
 6. G

  GUMADI Member

  #6
  Nov 27, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo kweli
   
 7. H

  Hau Member

  #7
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watasoma lakini ajira hamna
   
 8. a

  anonimuz Senior Member

  #8
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 102
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kijana, do some research first kabla ya ku-post. Hapo kwenye nyekundu kunaonesha jinsi gani upo off-touch. Wingi kozi za IT shouldn't be an issue, quality should. Kitu ambacho unatakiwa ufahamu ni kwamba IT, like most technical fields, inahitaji curious and keen minds. More on that later, kama hujaelewa.

  Now, hii inaonesha kwamba swali lako lilikua la kiushabiki zaidi na siyo kutaka kujua coz tayari umeishaitune mind yako kuwa skeptical. That's a pity.

  Bon chance!!
   
Loading...