Matokeo ya ualimu Sera iangaliwe upya

kakobe junior

Member
Jul 23, 2012
5
3
Kwa kweli nimeangalia matokeo ya ualimu imenishangaza kidogo. mfumo huu wa kuweka madaraja ya ualimu ni mzuri ila kuna dosari ambazo nadhani zingefanyiwa marekebisho.Kama katika ngazi nyingine kama stashahada na shahada kuna utaratibu wa kurudia kipindi/vipindi(supplementary exams) ambavyo mtu hakufaulu. kuna kipindi kinaitwa UALIMU kipindi hiki mtu akifeli anakuwa hana sifa kabisa za kuruhusiwa kufanya kazi wala kupewa cheti cha ualimu hata kama vipindi vingine atakuwa alikuwa na alama "A" kila somo. sasa tunapomwacha mwanafunzi mwenye GPA 4 kwa kuwa kafeli somo la UALIMU na kumchukua mwenye GPA ya 2.8 kwa kuwa kapata daraja D katika somo UALIMU tuna uhakika kuwa huyu ni mzuri kuliko yule wa GPA ya 4 au kwamba huyu wa 4 hafai kabisa kuwa mwalimu. mi nadhani inabidi uwepo utaratibu wa kurudia hicho kipindi iwapo mtu ana GPA inayotakiwa ili serikali isizidi kupoteza watu amabo wangekuja kusaidia jamii kwa siku za usoni
 
ufauru mzur ni ule mwanafunzi anafauru kwa uwihano usiotofautiana na masomo mengine..
 
Back
Top Bottom