Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,597
- 5,788
Inaonekana we ni fisadi naomba unyamaze kabisa
2015 hampati kura hata chembe
Kwa taarifa yako mi ni mwanachama na pia ni kiongozi. Napigania haki, ila ktk hili. Jaribu kufikiria kuwa bodi ya mikopo wana bajet kwahiyo wanatoa mikopo kutokana na bajeti yao. Samahani kwa kuwaambia ukweli.