Vijana gani mkuu? Hawa wanaoshinda kutwa nzima wanajadili simba na yanga??
Hawa wanaoshadadia uchawa na kulamba miguu ya wakubwa na wenye pesa??
Hawa wanaoshinda wanabet siku nzima??
Hawa wanaoshinda mtandaoni kufatilia mada za udaku, ngono na mambo mengine ya kipumbavu???.....vijana wetu...
Ndio maana masikini ataendelea kuwa masikini na tajiri ataendelea kuwa tajiri. Nani alikuambia ukiweka hela UTT unakua tajiri next day???? Hizo money market, shares and the like ni long term investment...pia elewa kwamba kila mtu ana malengo yake. Chagua kufanya kile kinachotimiza malengo yako...
Habari za leo ndugu madereva mnaoendesha gari aina ya Toyota IST hapa jijini Dar na kwingineko kote Tanzania.
Awali ya yote niwapongeze kwa hatua ya kumiliki usafiri ambao unawawezesha kutoka sehemu moja hadi nyingine kwa wakati. Hiyo ni hatua muhimu ya maisha ambayo kila mmoja angetamani...
kama umemzidi 15yrs na yeye ana 20...ina maana una 35 yrs. Hivi mkuu, kweli huo umri ni wa kuchanganywa na mapenzi kiasi hicho mpaka unaomba ushauri???
Jitafakari bwana kuna mambo mengi ya maana ya kuomba ushauri, hilo liko ndani ya uwezo wako kuliweka sawa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.