Recent content by green29

 1. green29

  Kubana Matumizi: Baraza la Mawaziri na mlo wa "Chips Mayai"

  Wacha wale mlo wa taifa huu hamna tatizo.
 2. green29

  Ethiopia wamejenga reli ya treni ya umeme mpaka bandari ya Djibouti,hawatatumia bandari ya DSM!

  Kama wana viwanda basi mizigo itakuja tu Bandari ya Dar. Port of origin: Djibout na Port of Destination ni DSM. Vibiriti, kahawa, makoti ya ngozi, toothpick na nyama zitaishia bongo, wazamiaji haramu ndio tutawarudisha Ethiopi kwa njia ya barabara. Simple[emoji28]
 3. green29

  Miss Tanzania wa 2010 mhh..

  Hakuna ubaya wowote kufananisha watu ni kipaji tu, ni sanaa. Na mimi nakubaliana na hoja kuwa , Rose MUhando ni mrembo na Miss Mbeya anamranda sana. Ukiangalia haraka haraka pia Miss Mbeya amemranda sana mmoja wapo wa washiriki wa Ze commedy show wakiwa kwenye zile costumes zao za kike.
 4. green29

  Naomba msaada? Nini tofauti ya Passport number na Passport book number?

  Wakuu naomba msaada, najaribu kujaza mifomu ya kuomba viza ya obama sasa kuna haka kapengelea cha Passport Book NUmber nimeshindwa kukaelewa. Heeeelp?! Je Kwenye passport yetu ya Tanzania naipatia wapi?
 5. green29

  Jamiiforums tuanzishe Scholarship kama mchango wetu kwenye maendeleo ya Elimu

  Uko sahihi, michango yetu kwenye maharusi inaonyesha kuwa linapokuja suala la ELimu pia uwezo tunao, na sababu tunazo, ni kujenga kwenye nia tu. Michango ya harusi tunachanga kwa muda mrefu na kuila na kuinywa kwa siku moja. Kuwekeza kwenye elimu tunaleta mageuzi ya kudumu kwenye Taifa.
 6. green29

  Namtafuta Ndugu FRANCIS KASWAHILI

  Google search inaonyesha Francis Kaswahili anajishughulisha pia na mambo ya burudani- chama cha muziki wa dansi! Kama unamtafuta kwa heri nashauri uwatafute hawa watu wa Muzidi wa Dansi lakini kama ni kama kuna tatizo basi nashauri utumie vyombo vya usalama.
 7. green29

  Jamiiforums tuanzishe Scholarship kama mchango wetu kwenye maendeleo ya Elimu

  Natoa hili wazo kama "wazo mbegu" lakini naamini wapo watu wengi wenye uzoefu na mawazo kama haya na wanaweza kulipanua hili wazo kiufundi zaidi na tukafanya kitu kikubwa. Tunaweza kulenga zaidi vyuo vya nyumbani na nguvu ikiwa kubwa tunaweza kufanya jambo kubwa zaidi. Kuna uwezekano mkubwa wapo...
 8. green29

  Jamiiforums tuanzishe Scholarship kama mchango wetu kwenye maendeleo ya Elimu

  Wanajamii wenzangu, natoa hili wazo kama mtanzania. Wapo wenzetu wengi wanaoishi kwenye mazingira magumu na wanasali na kuomba ili siku waamke wakute wamebahatika kujikuta wako shule/chuo wanapata elimu. Nahisi Jamiiforums, ikiwa si chama cha siasa bali ni Kusanyiko la Watanzania wanaoipenda...
 9. green29

  Msaada: Watanzania tunahitaji visa kwenda nchi za Burkinafaso, Siera Leon, na Mali?

  Aza, Asante kwa marekebisho, nafikiri nilitakiwa kuuliza utaratibu wa Visa ukoje. Asanteni wakuu
 10. green29

  Msaada: Watanzania tunahitaji visa kwenda nchi za Burkinafaso, Siera Leon, na Mali?

  Asante mjomba, nikipata nauli ntakuja! Nashukuru kwa darala la kifaransa; nitajitahidi nipitie mashule yako kule kwenye threads za Kilugha nifute ujinga kidogo. Once again, RESPECT!!!! Kaka Green29
 11. green29

  mambo ya wekend..........jamani ushauri unahitajika

  Na shetani huwa hapiti, huwa anaweka maskani!!!!
 12. green29

  Msaada: Watanzania tunahitaji visa kwenda nchi za Burkinafaso, Siera Leon, na Mali?

  Wakuu naomba kuuliza; Hivi tunahitaji visa kutembelea nchi za Burkinafaso, Siera Leon, Mali na Senegal? Kama tunahitaji, swali la nyongeza, je tuna ubalozi wa hizi nchi hapa bongo?
 13. green29

  Mchungaji apiga marufuku sadaka za sarafu (coins) Kanisani mwake

  Inawezekana mchungaji akawa sahihi ndugu zangu. Mara nyingi tunatoa sadaka chenjichenji au kama ni noti basi ni zile walizokataa makonda. Kwa upande mwigine, uwezo wangu kama ni kutoa coins tu basi nitatoa hizohizo na akitaka akazitupe. Lakini kama natoa sadaka mara moja kwa wiki na kipato...
Top Bottom