Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,906
- 22,050
Mchungaji wa kanisa moja apa nchini amepiga marufuku waumini wa kanisa lake kutoa sadaka za sarafu na kusema hilo ni kosa la jinai na akuna aja ya kudharau mungu..mchungaji huyo ambae ametangaza rasmi kama huna noti usitoe sadaka kanisan mwake amesema kuliko aende akaulizwe mbinguni bora akiri akukuwa na sadaka zakutosha huku akijua watu wanaangamia kwa kutoa sarafu....kazi ipo kwa habari zaidi nunu gazeti la msemakweli...leo jumapili.
Hivi yule alietoa senti kadhaa kwa yesu akasema hyu ametoa zaidi zilikuwa noti eehhhhhhhhhhhhhhhh??????????????? Haya mafundisho wanayapata wapi jamani........haya wahs wa epa kanisa liko wazi kwa ajili yenu si naniiino atuitajiki.........haya mambo ni ya kumwomba mungu yananikumbusha nikiwa arusha ukifika pale stand mjin uliza kuna msikiti mmoja huo ni secial kwa matajiri wafnyabiashara na baadhi ya wah walipoona watubaki wanajazana...kama unafahamu hotal ya crown pembeni kuna kagorofa unaweza hisi hotel ni msikiti ule wakajengewa na kuamriwa wawe wanaensa sali pale na kugawiwa msaada kila ijumaa....panajaaje ijumaa.....
Mungu aturehemu