JK anaposema: "…CCM na serikali yake, vimetoa fursa pana zaidi kwa wananchi, wanahabari na viongozi, wakiwemo waheshimiwa wabunge, kushiriki kikamilifu zaidi," anamanisha serikali ipi? au ni ile iliyolifungia gazeti la mwanahalisi? au inayopata kigugumizi juu ya kuwapeleka Fisadis Kisutu...