Mwenye contacts hizi tafadhali... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye contacts hizi tafadhali...

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mzee Mwanakijiji, Mar 23, 2009.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Mar 23, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,361
  Likes Received: 6,380
  Trophy Points: 280
  Salaam!

  Ninatafuta contacts za Chama cha Maalbino Tanzania na hasa viongozi wake. Yeyote mwenye kuwa nazo naomba tafadhali mnipitishie. Ni muhimu sana.

  Shukrani.
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Chama cha Maalbino Tanzania kilikuwa (nadhani mpaka leo bado kipo pale-pale) Ocean Road Hospital kwa hiyo wa-contact wao watakusaidia:

  Dr T. A. Ngoma, Executive Director, Ocean Road Cancer Institute, Junction of Luthuli and Ocean Road, P.O. Box 3592, Dar es Salaam, Tanzania. Tel: +255 22 2127597; Fax: +255 22 2118704; E-mail: ngoma@uccmail.co.tz
   
 3. G

  Great Thinker Member

  #3
  Mar 23, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzee Heshima mbele,

  Binafsi sijui contacts za viongozi wa chama cha maalbino-Tanzania, ila naona wako chini ya hii Federation.

  SHIVYAWATA - Tanzania Federation of Disabled Peoples Organizations

  "The umbrella organization for NGOs of- and for- persons with disabilities in Tanzania, in which the following organizations are represented: the Tanzania Association of the Deaf (CHAVITA), the Tanzania League of the Blind, the Tanzania Albino Society (TAS), Tanzania Association for Mentally Handicapped (TAMH). The organizations have the role to advocate rights and improved services, mobilize persons with disabilities, identify needs and priorities, participate in the planning, implementation and evaluation of services and measures, contribute to public awareness, provide services, and promote/organize income generating activities".

  Anwani yao ni hii hapa jaribu kama unaweza kupata msaada wowote kutoka kwao,

  Shirikisho la Vyama vya Watu wenye
  ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA)
  Kinondoni B
  Kanazi Street
  P.O. Box 42984
  Dar es Salaam
  Tanzania
  Tel: +255 784 419 030
  Email: shivyawata@yahoo.com

  Hizo ni contacts zao mpaka mwaka jana kama zimebadilika unisamehe bure.

  Note:

  Kama nitakuwa nimekosea chochote katika post hii nisamehewe kwa sababu ndo post yangu ya kwanza humu.
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Mar 23, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,361
  Likes Received: 6,380
  Trophy Points: 280
  Nashukuru mmenipa mahali pa kuanzia...
   
 5. Chacha wa Mwita

  Chacha wa Mwita Senior Member

  #5
  Mar 23, 2009
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 166
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  piga bungeni, omba kuongea na yule mbunge albino, ni mwanachama hai kwenye hiyo taasisi.
   
Loading...