Mimi mtoto wa jakaya ata ikulu napiga chata

Fikra potofu unashindwa jupost vitu vya maana unatujazia upupu humu ndani
 
unashangaa dr.slaa anapata wapi nyalaka wakati hata nikivaa mlegezo ikulu napiga chata ya figganigga.mia
 
Ivi anazungumzia nin? Mana lugha zenu vijana shida 2.

wamekuacha gizani kama mimi? Na hapo hawajapiga chata vizuri. Wakipiga hizo chata ndo kabisaaaaa! Utasikia baba anaitwa mshua, video inaitwa chopa,rafiki yangu anaitwa kichaa wangu na ....
 
Back
Top Bottom