Recent content by GRANITE II

  1. GRANITE II

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Nafanya mishe zangu huko so hakuna kijiji nisichokijua huko
  2. GRANITE II

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Sio mkuti ngome,au Chingumbwa au Namungo kabisa…😀
  3. GRANITE II

    Kwanini watu wengi (zaidi ya 90%) hufilisika mitaji pale wanapoingia kwa mara yao ya kwanza kwenye kazi za uchimbaji wa madini?

    Hapo kwenye madini yakianza kutoka hawakuamini nakubali na ilinikuta kipindi nawachenjulia wachimbaji wadogo nikiwa kama mkemia …baada ya madini kupatikana Elution hua wanaona aaah mbona hii kazi nyepesi hata sisi tungeweza fanya na wanabadilika hela mliokubaliana wanaanza kupunguza 😅
  4. GRANITE II

    Baada ya kubezwa kwa mda mrefu, mkoa wa Lindi sasa unaenda kuwa "Mineral Hub of Tanzania"

    Well speaking of Elianje,jamaa (Yusuph)kafanya mengi sana na kajitahidi sana kuna baadhi ya vijana wa hapo chingumbwa aliwasomesha na kawaajiri mwenyewe..Mwenyekiti Abdallah anachoongea ni kweli vijiji vinavyozunguka Namungo vijana wengi hawapendi kazi na wanategemea kupata hela nyepesi bila...
  5. GRANITE II

    Kupanda cheo kwa walimu kwa kigezo cha PEPMIS

    Sawa sawa basi ujumbe uwafikie wahusika….
  6. GRANITE II

    Kupanda cheo kwa walimu kwa kigezo cha PEPMIS

    Vip mnapata communication allowance ili mnunue vocha mpate mb za kutosha kujaza hizi taarifa kila wiki/siku/mwezi?? Kingine huu mfumo si mgumu sana kama mazingira na seminar za mara kwa mara zingefanyika kuwajengea watumishi uelewa wa hii mifumo..NB watumishi wengi hasa waalimu mifumo mingi ya...
  7. GRANITE II

    GPA ya 3.0 ni nzuri kwenye fursa za kazi?

    Hapo kwenye maarifa na mautundu pia msitari…Watu wanataka unajuana na nan na ukishapewa connection inabaki unajua nini
  8. GRANITE II

    Mkopo wa bilioni 2.85 chama cha walimu ziliafikiwa chini ya rais Leah Ulaya, walimu tumeshtuka, box la kura litaamua

    Samahani mkuu…Hivi huko CWT tofauti na hizi T shirt kuna kitu gani mnafaidika kutokana na makato kutoka kwenye mishahara yenu.
  9. GRANITE II

    Ajabu wanaosomea madini Tanzania hadi wanamaliza vyuo wanakuwa hawajawahi kuiona dhahabu wala almasi laivu

    Chuo gani hicho mkuu?….Anyways hii sekta ya madini ukiachana na suala la kusoma darasani,inabidi uwe mjanja mjanja sana kama bongo yako imelala na unategemea kulishwa kila kitu elimu yako utaishia kuifungia ndani…Kama ulivosema kwenye hizi shughuli za uchenjuaji na uchimbaji mdogo (kuozesha) mtu...
  10. GRANITE II

    Kuna wakati hapa bongo, madaktari, mainjinia, etc ndio walikuwa higher rank katika jamii zetu ila sasa hivi ni machawa na mademu wenye makalio makubwa

    Wenye taauluma/wafanyabiashara wengi hawana hio spotlight/hawapendi spotlight ila wanafanya mambo makubwa na ni wengi kuliko hata hao machawa…Linapokuja suala la taaluma kwa nchi yoyote jambo hilo haliepukiki…Hawa wafanya biashara wakubwa nyuma kuna vijana wanawasaidia kuendesha hizi biashara...
  11. GRANITE II

    Kuna wakati hapa bongo, madaktari, mainjinia, etc ndio walikuwa higher rank katika jamii zetu ila sasa hivi ni machawa na mademu wenye makalio makubwa

    Uchawa una gharama zake na ni wa muda mfupi…Taaluma/ujuzi/kipaji ni swala jingine kabisa,unakula asali taratibu ila kwa muda mrefu.Machawa wengi wanasomesha watoto wao shule nzuri na hata ukiwauliza kama angependa mwanae aje awe kama yeye hawakubali katu
  12. GRANITE II

    Washambuliaji Goal poachers wanazidi kupotea duniani

    M mwenyewe nimestaajabu
  13. GRANITE II

    Washambuliaji Goal poachers wanazidi kupotea duniani

    Mkuu hii list umesahau kabisa kumuweka Luis Nazario De Lima
Back
Top Bottom