KUKULU- KAKALA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 312
- 1,298
Gone are the days when real men played football at it's best. Farewell THOMAS MULLER.... farewell JOHN BOCCO....
Daaah mpira ulikuwa Mpira Bana achana na Hizi modern football walizotuletea kina Guardiola, Klop na Ambayo Anataka atuletee RUBEN AMORIM. Dunia imewahi Kuwa na wamba Ambao mitaa haitawasahau.
Kuna namba tisa wamewahi kupita na kutufanya tuukumbuke mpira wa miguu na tusijutie Kulala Usiku wa manane ambao tulitumia kuwaangalia. Aisee Kuna namba tisa Ambao walikuwa Goal poachers ( Wao kazi Yao ni kufunga tu walikuwa hawana mambo Mengi ila wakiwa ndani ya box unahesabu kamba za kutosha) the last man kumshuhudia kama GOAL POACHER alikuwa Thomas Muller ambaye kaagwa Rasmi Bayern Munich wiki iliyopita.
Hawa ndo goal poachers wangu Bora wa muda wote kuwahi Kuwashuhudia;
1. Ruud van Nistelrooy
2.Raul
3.Filippo Inzaghi:
4.Romario
5 Andy Cole
6.Michael Owen
7.Miroslav Klose
8. Ian Wright
9. Thomas Muller
10. Robin van persie
11. Chicharito
12. Robbie Fowler
13. Adebayor.
14.Ole Gunnar Solskjaer
wale wakongwe wenzangu UNAMKUMBUKA nani Kwenye hao wamba.!?