Washambuliaji Goal poachers wanazidi kupotea duniani

Gone are the days when real men played football at it's best. Farewell THOMAS MULLER.... farewell JOHN BOCCO....

Daaah mpira ulikuwa Mpira Bana achana na Hizi modern football walizotuletea kina Guardiola, Klop na Ambayo Anataka atuletee RUBEN AMORIM. Dunia imewahi Kuwa na wamba Ambao mitaa haitawasahau.

Kuna namba tisa wamewahi kupita na kutufanya tuukumbuke mpira wa miguu na tusijutie Kulala Usiku wa manane ambao tulitumia kuwaangalia. Aisee Kuna namba tisa Ambao walikuwa Goal poachers ( Wao kazi Yao ni kufunga tu walikuwa hawana mambo Mengi ila wakiwa ndani ya box unahesabu kamba za kutosha) the last man kumshuhudia kama GOAL POACHER alikuwa Thomas Muller ambaye kaagwa Rasmi Bayern Munich wiki iliyopita.

Hawa ndo goal poachers wangu Bora wa muda wote kuwahi Kuwashuhudia;

1. Ruud van Nistelrooy
2.Raul
3.Filippo Inzaghi:
4.Romario
5 Andy Cole
6.Michael Owen
7.Miroslav Klose
8. Ian Wright
9. Thomas Muller
10. Robin van persie
11. Chicharito
12. Robbie Fowler
13. Adebayor.
14.Ole Gunnar Solskjaer

wale wakongwe wenzangu UNAMKUMBUKA nani Kwenye hao wamba.!?
De Lima hayupo hapa?
Mkuu ngoja ninyamaze.
 
Muller ni poacher?

Pia Amorim amemtengeneza no 9 mkali ambaye anaongoza Golden Boot sasa hivi mbele ya Salah na Mbape Gyokeres
images-10.jpeg

Na Pep na Haaland ambaye probably ni striker mzuri kushinda majority ya uliowataja juu.
 
"Goal poacher" ni aina ya mshambuliaji (striker) ambaye hujulikana kwa uwezo wake mkubwa wa kufunga magoli kwa kutumia nafasi ndogo sana. Mchezaji huyu mara nyingi haonekani sana kwenye ujenzi wa mashambulizi, bali huhifadhi nguvu zake kusubiri nafasi ya kufunga akiwa karibu na lango.

Sifa kuu za goal poacher ni:

1. Positioning – Ana uwezo wa kujipanga vizuri eneo la hatari (18) ili apokee pasi au kutumia makosa ya mabeki.

2. Finishing – Ana uwezo mkubwa wa kumalizia nafasi kwa haraka, iwe ni kwa mguu au kichwa.

3. Instinct – Ana hisia za kutambua wapi mpira utaangukia au kutokea.

4. Reaction time – Huchukua hatua haraka mara baada ya mpira kuwa kwenye nafasi ya kufunga.

Mfano wa wachezaji waliowahi kuwa goal poachers ni kama Filippo Inzaghi, Chicharito (Javier Hernández), au Ruud van Nistelrooy. Wanaweza wasionekane sana kwenye mchezo lakini wanaweza kufunga goli lolote kwa nafasi ndogo.
Aise kwa sifa hizi basi hapa Africa goal poacher mzuri kwa sasa hivi ni Mayele
 
Thomas Muller sio goal poacher
Hakuna hata msimu aliowahi kusimama kama namba tisa siku zote anasimama nyuma ya namba tisa
Huyo ni second striker
Muller kama Rooney tu ama Totti, Old school no 10, ndio maana ligi ya Ujerumani ana Assist nyingi kuliko Magoli. Huwezi kuwa poacher ukawa na assist nyingi zaidi.
 
Pia umesahau Denis Bergkamp kwenye hiyo list hawa wanakuwa technically na wanaweza kupiga pasi
Tunawaita second striker mifumo imewaondoa sana hawa jamaa wanaocheza between viungo wakabaji na mabeki wa timu pinzani
 
Benjani mwariali
emile mpenza
Emile heskey
Carton cole
John carew
Roque santa cruz
Roman palvuchenko
Yakubu
Luis fabiano
Fredrick kanoute
Hugo rodallega
Hernan crespo
Mark viduka
Andry shevchenko
Diego milito
Luka toni
Robi Keane
Darren bent
Luis saha
Djibril Cisse
David trezguet
 
Gone are the days when real men played football at it's best. Farewell THOMAS MULLER.... farewell JOHN BOCCO....

Daaah mpira ulikuwa Mpira Bana achana na Hizi modern football walizotuletea kina Guardiola, Klop na Ambayo Anataka atuletee RUBEN AMORIM. Dunia imewahi Kuwa na wamba Ambao mitaa haitawasahau.

Kuna namba tisa wamewahi kupita na kutufanya tuukumbuke mpira wa miguu na tusijutie Kulala Usiku wa manane ambao tulitumia kuwaangalia. Aisee Kuna namba tisa Ambao walikuwa Goal poachers ( Wao kazi Yao ni kufunga tu walikuwa hawana mambo Mengi ila wakiwa ndani ya box unahesabu kamba za kutosha) the last man kumshuhudia kama GOAL POACHER alikuwa Thomas Muller ambaye kaagwa Rasmi Bayern Munich wiki iliyopita.

Hawa ndo goal poachers wangu Bora wa muda wote kuwahi Kuwashuhudia;

1. Ruud van Nistelrooy
2.Raul
3.Filippo Inzaghi:
4.Romario
5 Andy Cole
6.Michael Owen
7.Miroslav Klose
8. Ian Wright
9. Thomas Muller
10. Robin van persie
11. Chicharito
12. Robbie Fowler
13. Adebayor.
14.Ole Gunnar Solskjaer

wale wakongwe wenzangu UNAMKUMBUKA nani Kwenye hao wamba.!?
unatukosea Adebayor kiazi na upoacher wap na wap
apo mtoe weka watu kina Gary lineker,kina Jan Huntellar,kina Hugo Sanchez watu na nusu
 
Zamoyoni Mongela - Golden Boy na Sunday Manara
 
Inzaghi ananikumbusha ile Milan ya moto kabisa. Kaka anazikusanya beki hatar za man u, Rio na Vidic wanagaagaa chini km watoto.
Huyo Inzaghi akitajwa Mara 2 kwny zile nafas za wazi lazima watu mrudi kati.

Hicho kipindi UEFA ilikuwa ya moto sana. Ili uwe bingwa wa uefa inatakiwa uwe na timu haswa.
Arsenal ya kipindi kile ingekuwepo kipindi hiki ingebeba UEFA. Kipindi kile ilishindwa kwasababu kila unapogusa pamoto, hiyo Ac Milan hata kwa bahat mbaya ulikuwa hutaman kukutana nayo.

Liver ilikuwa kwenye ligi ya EPL ni kama timu ya kawaida ila ukikutana nayo UEFA utajitafuta.
 
Benjani mwariali
emile mpenza
Emile heskey
Carton cole
John carew
Roque santa cruz
Roman palvuchenko
Yakubu
Luis fabiano
Fredrick kanoute
Hugo rodallega
Hernan crespo
Mark viduka
Andry shevchenko
Diego milito
Luka toni
Robi Keane
Darren bent
Luis saha
Djibril Cisse
David trezguet
Roque santa cruz WA moto sana na Black burn Rovers yake.... Hugo Rodallega Daah aisee. Football was football
 
Pia umesahau Denis Bergkamp kwenye hiyo list hawa wanakuwa technically na wanaweza kupiga pasi
Tunawaita second striker mifumo imewaondoa sana hawa jamaa wanaocheza between viungo wakabaji na mabeki wa timu pinzani
Bergkamp Alikuwa ni ball playing striker
 
unatukosea Adebayor kiazi na upoacher wap na wap
apo mtoe weka watu kina Gary lineker,kina Jan Huntellar,kina Hugo Sanchez watu na nusu
Nakubali mkuu ni Kweli ila Adebayor Huwezi muweka pembeni... Najua sijawataja kina Rodallega...kina Santa cruz nisamehee Mimi nisamehe sana nimekosa sana😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom