Simlaumu hata kidogo. Huo ni ubunifu wake. Watanzania tumekuwa na mavazi ya kila aina hapo zamani za kale. Historia inasema tumevaa magome ya miti, majani, ngozi za wanyama, kaniki n.k. Hatuna vazi rasmi la taifa. Si vibaya kuendelea kuwa creative mpaka tufanikiwe tupate na kukubaliana vazi la...
Mimi naulizia LUKU jioni hii ni vp? Najaribu kununua umeme naona naambiwa "muamala wangu haujakamilika, nijaribu baadae" Hiyo baadae sijui ni saa ngapi na umeme unaisha??!
Kwa kiasi fulani nilikuwa nam-admire sana Diamond kimziki na maisha yake na Zari na family. Lakini baada ya tukio hili la ku-cheat nimemdharau. Nafahamu Waislamu wanaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja, lakini sidhani kama wana afiki tabia ya michepuko.
Kampuni ya Acacia haitashinda, hivyo ni vishindo na vitisho ili waendelee kutunyonya na kutuibia rasilimali zetu. Za mwizi ni arobaini, na arobaini yao imefika. Watuache na rasilimali zetu, tutachimba wenyewe kidogokidogo na kuruhusu nchi rafiki au makampuni yatayokubali na kufuata masharti...
That lake belongs to three countries: Tanzania, Malawi and Mozambique. In Tanzania we call it Lake Nyasa and it has been there time immemorial! Tanganyikans and later Tanzanians have been using it all along as theirs. At school we have always been taught that it belongs to all the three...
Rest in peace Norah, bado malaika wewe nahakika uko mbinguni tu sasa, ingawa mjomba wako kakukatili na kukatisha maisha yako. Mwenyezi Mungu akubariki sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali la kujiuliza Magode ni binadamu na viumbe vyote vimetokea wapi na kwa nini? Uwepo wako ni wa nini? Je hilo jua na huo mwezi vimetokea wapi? Kupatwa kwa jua hakukanushi uwepo wa Mungu bali ni moja ya miujiza ya Mungu. Kutabiri kupatwa kwa jua hakuna maana kua hakuna Mungu, mbona wana hali...
Ngosiboy uko gizani na umepotea. Hata hivyo bado unaweza rudi kwenye nuru na ukweli ukijiuliza na kufikiria tu wewe umetokea wapi, binadamu na viumbe vyote vimetokea wapi kama sio kuwepo kwa mwanzilishi wa waisha, watu na viumbe vyote. Mwanzilishi huyo ndio muumba, ndie Mwenyezi Mungu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.