msem
JF-Expert Member
- Nov 7, 2015
- 1,837
- 1,631
Kwa kweli generation hii ni akili kumkichwa,vinginevyo unaambulia kilio...wakati mwingine heri ya lawama kulikoni fedheha,unamkaribisha mwanandugu unaishia kujuta.Alafu ndugu tukiwafukuza mtatuita tuna roho mbaya! M/Mungu tulindie vizazi vyetu maana huu ni mtihani mkubwa wallah!
Sent using Jamii Forums mobile app