kulingana na maelezo ya jaji ni kwamba hiyo kes among other cases za geita zimechelewa kuisha coz geita hamna high court so mpaka wasubir high court secission ya judges frm mwanza kwenda kusikiliza kes geita. pia hiyo ked imepitia mikononi mwa judges weng kutokana na kuhamishwahamishwa so kila...
we sio bure itakua yamekukuta yakukuta. nyie wanaume si mnasemaga wanawake waalimu ndio the best wives sasa leo imekuaje?? pole sana ila hauna point kabisa katika hiyo thread yako.
mi namshaur huyo dada atafute wachungaji wamuombee hilo litakuwa ni pepo tuu! mbona kuna yule shoga wa miaka hapa towm aliombewa pale kanisan magomen mikumi. akaacha kabisa ushoga na akaanza tamani wanawake at at last akaoa mke humohumo kanisani.
ila hii thread haijakaa kijender balance. kwani wote mwanaume na mwanamke wamegegedana why mwanamke ndovaonekane kimeo kwa kulala na x. mi naona hata mwanaume nae ni kimeo kama umeshaachana na mtu ukaoa au ukawa na mahusiano why uchepuke kw X gf wako??
hapana aisee! wanawake weng walio kwenye ndoa huwa wanaheshim sana waume zao hawachepuki kabisa. ukiona .mwanamke alie kwenye ndoa anachepuka kw X ujue mumewe anamsaliti sana hivyo na yy aanjupoza nje au anamkomoa mumewe.
wanawake walio single ni rahis kulala na x coz of loliness asikuambie mtu...
wewe wala hakupokelewa kishujaa kama unavyompamba. mi nipo korogwe kilichofanyika ni kuwakusanya watu wa bodaboda na kuwawekea wese ili wakampokee segera. wengine waliwekewa mafuta wakasepa wengine wakaenda. ila walifata maslai tuu sio kuwa wanampenda. na hata kwenye huo mkutano ulifanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.