Mwanamke yeyote akikupa mara moja, hata akiolewa ukimwomba tena atakupa tu

Haaaa haaa CHapa Nalo nimecheka sana,o- level, A- leve, chuo,nyumbani, umesahau kazini,yaani ukweli mtupu,control pressure tu
 
Hivi mbona mnatuonea sna wanawake jamani!! Mwanamke anaeheshimu ndoa yake na mumewe sidhani kama anaweza kufanya kitendo kama hicho kwenda kuchakachuliwa na dume lingine...
Kma kuna mwana JF na umefanyiwa hivyo na mkeo bas jua wewe sio RIJALI!!:redfaces::redfaces::redfaces::redfaces:
Hayo sasa matusi.Atoke mwingine atukanwe mwingine? cmon mdada!
 
hahah jamaa we ni bingwaa wa wake za watu
Nasikia ukimkuta kaolea au ana BF mwingine na alikuwa kipenzi chako miaka kadha imepita
ww mwambie eehhhh kaaaahhh umependeza huyo jamaa kakupa nini? utaona kafurahi then unaanza sasa then direct, plse nimekumiss yaani basi tu, mara unajua mzee/ BF mkali,
then unamwambia ebu chukua hii fedha kidogo ya matumizi kesho nipigie tukutane wapi? ndio tayari hivyo
 
Hapana hii asilimia 75 sio sahihi kuna wachache wanatoa lakini wengi wakiolewa sahau labda agundue mumewe anauza mechi atakupa kumkomoa.

hapo umesema, mwanamke ataanza kutafuta makoloni tena anaweza hata akakuanza mwenyewe only akigundua mumewe mali ya uma,hii inakuaga hatua ya kwanza baada ya kuvunjika moyo
 
Kwa hio mfano mwanamke huyo ndani ya mwez m1 kakutana na X wake ka wa3 iv so atagongwa na mtu tatu ndani ya mwez au atachagua alie kua na ndoga kubwa nieleweshe apo…
 
ni tabia mbaya hata kwa wanaume kungangania mke ya mtu, heshimu ndoa kwa jamaa yako. Ya kale yamepita tafuta mengine, wanawake imejaa tele.


ni kweli papaa wanawake imejaa tele mke ya mtu ya nini?...mke ya mtu iko sumbua espirit ya bien!
 
Ndoa changamoto sana
 

Attachments

  • 1417059279592.jpg
    1417059279592.jpg
    28.1 KB · Views: 360
Hapana hii asilimia 75 sio sahihi kuna wachache wanatoa lakini wengi wakiolewa sahau labda agundue mumewe anauza mechi atakupa kumkomoa.

Sasa hii inatisha maana tunaoa wake wameshapitia o level, A level na vyuo, bado sehemu alizotembelea jumlisha na nyumbani kwao, kote huko pengine alikuwa na wapenzi tofauti na waliachana si kwa kugombana bali kwa vile shule/chuo wamemaliza kila mtu anarudi kwao. Hapa mimi pressure inapanda, pressure inashuka, ok napotezea kwani hata mimi huwa natoka nje ya ndoa bila wife kujua ila mara chache chache sana.

Kwanini uwe na pressure mkuu? kwani huko kote alikopita alikuwa anafanywa na mwanamke mwenzake? wanaokutia hofu sio hao wanawake bali ni wanaume wenzio wanaowaharibu akina dada.
Cc: Khantwe, miss chagga & sister.
 
Last edited by a moderator:
ila hii thread haijakaa kijender balance. kwani wote mwanaume na mwanamke wamegegedana why mwanamke ndovaonekane kimeo kwa kulala na x. mi naona hata mwanaume nae ni kimeo kama umeshaachana na mtu ukaoa au ukawa na mahusiano why uchepuke kw X gf wako??
 
Sikubaliani KABISA na ww mkuu. kwanza kama mliachana kwa usalama ina maana uliona hakufai tena kama mwanaume. most of the times an ex is seen as an ennemy/ or a friend we are a bit ashamed of, nikwambie tu ukweli. Coz kila tukiachana na mtu na kupendana na mngine, huyo mpya atakua ni better kuliko wa zamani. na kama tukiamua kufunga pingu la maisha basi huyo huwa ni bora kuliko wengine wote. Ex akisema umependeza kweli inafurahisha but pia inside unasema "ananipa ulicho shindwa kunipa wewe". Ao vipi sisters wa JF?

Hapo sikubaliani nawe, kwa upande wa maisha, maisha anayepanga ni Mungu na baadhi ya wadada walio wengi wana macho ya kuangalia hapa sio kuangalia kule, mnaweza mkaachana na msichana kisa kuna mtu amemshawishi ambaye kwake kwa kipindi hicho anamuona bora, watu wana msemo hakuna anayeijua kesho, baada ya miaka kadhaa unakuja kumuona jamaa kabadilika kupita maelezo, anakuomba mchezo unasema unagoma,sijui. Ila nje ya hapo ni automatically ukishamdinya msichana hana tena ujanja, akikutana na wewe ni kama vile mbwa aliyekutana na chatu, lazima tu ajipeleke haina jinsi. Msipinge.
 
Hapo ndo ujue kuwa demu ni wako tu pale uwapo naye wewe. Na wajuavyo kuhifadhi siri hawa viumbe...tehtehteh...mzee mzima huenda ushamegewa. Natania tu maana usije ukarudi nyumbani na kumuwakia mamsapu wako.

Mimi siwezi achana na mke kwa sababu ya kuchapiwa japo inauma,( ila akizidi naachana naye) si na mimi huwa nachapa chapa mara moja moja huko nje ila kwa condom, kwa hiyo moral power ya kumjia juu itapwaya tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom