yunus kb
Senior Member
- Sep 7, 2014
- 118
- 53
Mkuu wa wilaya ya Korogwe Tanga alienda kuhojiwa na kamati ya maadili kwa tuhuma za kutumia vibaya madaraka yake, alipotoka amepokelewa kishujaa na wananchi wake walioapa kumuunga mkono kwa kuwa yeye ni mtetezi wa haki za wanyonge, wanaompinga ni mafisadi, akiwahutubia wananchi hao Mr Gambo ambae ndo mkuu wa wilaya hiyo, amesema kuwa kuna "shoka, mpini na msitu, shoka na mpini vikiungana ,msitu utaisha, sasa yeye ni shoka lililokataa kuungana na mpini na msitu umebaki salama "
Source: Clouds TV
Source: Clouds TV