Angalizo: Wanaoitwa interview na utumishi wa umma

Angalizo: Wanaoitwa interview na utumishi wa umma

blabla zote hizo kazi walishagawana kabla tangazo halijatoka
 
Na sehemu ya kuuliza maswali unatakiwa uulize maswali gani?
 
blabla zote hizo kazi walishagawana kabla tangazo halijatoka

mkuu nina ushahidi wa nafasi ambazo waombaji wameboronga, zitatangazwa upya! imebidi watafitwe watu wa part time kuokoa jahazi!
 
Yan mtoa mada naumia kwasababu kuna kosa nimeshalifanya. Hilo la kupitisha barua kwa mwajiri, kuna maombi nimetuma sehemu flan walihitaji barua ipitishwe kwa mwajiri ila sikufanya hivyo. Kwa mfumo huo mie nitakua nishajitoa kwny mashindano.
 
katika intervie yetu, yule afisa kutoka utumishi wa umma alikuwa anawatoa nje, kisha kuna form, naweza kuita ya scored marks, tulikuwa tunajaza NIL, sehemu zote, kisha ktk comments tulikuwa tunaandika "government employee" huku na yeye msailiwa akiondolewa katika mchakato!

Lakini kuna ambao, walifanya mpaka mwisho wa interview, lakini hiyo comment inawamaliza!
 
Mkuu swali langu hujaliona au umelipotezea?
 
mtu kama huyo kwa kweli hukuna namna kwa wasaili (interviewer) inabidi kumuweka kando ili wenye shida na ajira wapate nafasi....huwezi kwenda kwenye usaili wowote duniani bila kuwa na original certificate

Huyo anaweza kuwa iconoclast anayefikiri nje ya box.

Kibongobongo hatuwezi ku deal na watu kama hao wanaoweza ku challenge authority.

Katika vyeti kinachomatter ni verifiability. Ambayo unaweza kuipata hata kwenye copy kwa kutumia namba.

Ukiridhika na "cheti halisi" tu watu watakuchongea feki kinaonekana kama halisi.

Watu wanachonga mpaka dola za Marekani, itakuwa cheti.

The guy had a point, sema labda mifumo ya kibongo haijawa tayari kwa watu walio huru kama hao.

Mtu anachukua uraia wa nchi makini kwa copies tu za documents, itakuwa kazi?
 
Kweli kabisa kaka hii mimi ilinikuta zambia kwenye interview, wale jamaa hawana longo longo wanakwambia on the sport. "stop moving around the bush and be specific to the point"
 
Yan mtoa mada naumia kwasababu kuna kosa nimeshalifanya. Hilo la kupitisha barua kwa mwajiri, kuna maombi nimetuma sehemu flan walihitaji barua ipitishwe kwa mwajiri ila sikufanya hivyo. Kwa mfumo huo mie nitakua nishajitoa kwny mashindano.

Mkuu hujajitoa ilimradi ukienda interview usiseme kuwa umeajiriwa hadi siku ya mwisho na utapewa ruhusa ya kufata datasheet kwa mwajiri wa sasa.

Mimi nimefanya vile 2012 na nilikuwa nshafutwa payroll ila LAWSON ikanidaka na ikabdi niombe kibali utumishi kimekuja kutoka 2013 mwishoni na sasa nipo job.
Ukiwaambia imekula kwako.
 
Back
Top Bottom