Anna Makinda umepewa ticket ya kugombea Urais

Anna Makinda umepewa ticket ya kugombea Urais

Aisee huyu mama amejizolea sifa si za kawaida. Wengi tulimfikiria vingine kabisa huyu mama. MH.SITA NAMBA MBILI. Wanawake kweli wanaweza hata bila kuwezeshwa. Mh. Makinda oyeee...!

Usimdharau mtu Kwa njia yoyote ile.. Chukua Hii kama fundisho Kwenye maisha.....
 
Mjadala uwepo au usiwepo hakuna cha Rais kutoka CCM tena, mara buku kabisa hawa wasaka tunge wakubwa. Hivi kama Mahakama inasema hakuna kujadili ripoti ya CAG au TAKUKURU kwani Rais anazuiwa na nani kuwafukuza wezi na rais kuagiza washtakiwe? Wote huu ni usanii wa CCM kwa vile imewaona Watanzania ni mabwege.
Watu ni walewale kila siku wanaiba mabilioni ya shilingi kisha zinaletwa sarakasi za bungeni halafu yanaisha wakati maelfu ya watu wa nchi hii wamepoteza maisha kwa vyanzo vinavyotokana na wachache kujimilikisha fedha za umma.
Nyerere na Sokoine wangefufuka na tukawapa nchi waongoze kwa wiki mbili tuu kisha wafe tena nadhani wangeiacha nchi tukiheshimiana.
Leo hii eti tunaambiwa Mawaziri wanawatumia majambazi kama Chief Kiumbe kusambaza nyaraka feki ili kulivuruga Bunge na sisi tunaona kawaida kama mazuzu vile. Wallah kama mie Rais huyo Muhongo namchapa makonde kwanza kisha barua ya kumfukuza ataikuta kwa mkewe. غعف نخهح لصشسبف خى xyz £€ @ kabisa!

Umehamaki sanaaaa, punguza kuduchu...
 
Nafikiri presha ya wananchi hususani kupitia JF imechangia kwa kiasi kikubwa Bi. Kiroboto kuogopa kuleta mazingaombwe maana tayari walikuwa wameshaanikwa hapa through JF jinsi walivyomtoa nduki Ndugai kwenda overseas. Hata hivyo imekula kwao as Ndugai sasa anakula kuku kwa mrija, wali kwa sindano huko kamati ya PAC ikimwaga kuku kwenye mpunga mwingi..teh..teh..teh.
 
Uraisi mchezo. Jimboni kwake tupa kule. Viva CDM
 
Kutokana na vuguvugu la IPTL linaloendelea bungeni na mahakamani, fursa ya pekee imejitokeza kwa Madame Speaker, Anna Makinda kujipatia tiketi rahisi ya kuingia kwenye kinyang'anyiro cha Urais akiwa na support kubwa sana ya wananchi.

Shutuma zote alizonazo za kushindwa kuliongoza Bunge kwa ufasaha kwa kipindi cha miaka minne zinaweza kufutwa na kauli yake moja tu kwa siku ya kesho!

Kauli pekee inayoweza kumpandisha na kumfanya aonekane shujaa wa taifa ni kwa yeye kukubali mjadala wa IPTL/ESCROW ufanyike kesho bungeni.

Ni changamoto ngumu sana kwa Madame Speaker ila ni fursa nzuri sana kisiasa kwa upande wake! Historia haitamsahau kamwe kwa maamuzi yake siku ya kesho.

Na maamuzi hayo ya kuwa upande wa wananchi ni ticket nzuri kwake endapo ataamua kuchukua fomu ya Uraisi na kuamua kupambana na waliojipambanua ambao wengi wana kashfa nyingi sana mbele ya macho ya wananchi.

Fursa za namna hii huwa hazijirudii! Kazi ni kwako Madame Speaker... Take it or leave it.

kwa urais wa nchi umepotoka hafai kabisa huyo dada
 
Usimdharau mtu Kwa njia yoyote ile.. Chukua Hii kama fundisho Kwenye maisha.....

Huyu makinda naye gauni lilibana hakuwa na pa kutokea,hakupenda ile ishu au alinyimwa mgao,alishawah kudanganya huku njombe vijijini kuwa yeye ni maskini na et hana hata nyumba
 
Huyu makinda naye gauni lilibana hakuwa na pa kutokea,hakupenda ile ishu au alinyimwa mgao,alishawah kudanganya huku njombe vijijini kuwa yeye ni maskini na et hana hata nyumba

Inawezekana why not? Kwani kila Mbunge lazima awe na Nyumba?
 
Back
Top Bottom