Mbona zito anatajwatajwa sana! Mbona kuna Kafulila, Filikunjombe, Msomi Lisu, na yule aliesema hakuna profesa muwongo kama Muhongo. Au huu Uzi nao ni MKAKATI wa kulivua kanisa na UCHAFU huu mupeleke Kwa wenzetu wa baraghashia? Kama ndivyo basi kuna mengi hapo RC
Siro kasema alipigwa risasi akiwa.ameangushwa chini. Hana silaha yeyote umemwangusha unamuharas hlf unaokota simu yake kusaka ushahidi. Hata mtoto mdogo atakwambia kauwawa KUFICHA ushahidi.
Mara nyingi maandishi haya husomwa Kwa namna MTU anavyojisikia, ndio ukaona wachungaji wengi hawasomei popote. Ndio uone kila mchungaji na kns lake na ibada zake na sala zake. Tujichunge Ht hapa Tz wapo walioozewa na maiti wengine walishinda uwanja wa ndg mwenzi mzima, na waliokunywa sumu...
Ikitokea kuwa na pesa, magari, majumba Kwa zaidi ya kimoja! Vyote hivyo waweza kuazimisha au kugawa Kwa rafiki au yeyote Kwa sababu zozote bali sio Mke au mpezio hata wawe zaidi ya wanne. Ni Kwa nini na je kuna KINGINE cha mfano wake?
Wananchi wa majimaji wanaendelea kushambuliwa na wanaodhaniwa kuwa ni askari magereza wa kijijini hapa baada ya kutokea kutoelewana baina yao kufuatia kitendo cha askari hao kuwajeruhi vujana watatu waliokuwa wanaosha pikipiki katika MTO ulio mpaka baina ya kijiji na gereza. Kuanzia SAA moja na...
Isije kuwa sinema maana naona hapa Tz hukumu yake ni Kali klk Amerika. Pia kakutwa na kilo nyingi hapa.tz . nashuku namna kosa alilofanyia Us linavyotamkwa (kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya); SIJUI NGOJA MUDA USEME
Wamachinga wanaandamana Kwa kuzibiwa njia zao za kupatia kipato cha kila Siku Kwa mauzo ya hizo CD. Wasanii wa bongo movie wanaandamana kupinga CD dar essalaam. Daymond na wennzie wakiandamana kupinga nyimbo na bit za nje kuharibu soko lao, ujue na wamachinga way and a man's wauze nyimbo za nje...
Ni ya mwaka juzi. Ilikuwa sinema kama ilivokuwa majambia yaliodaiwa na Mrema miaka tisini na kurudiwa na Mahita miaka ya elfu mbili akihusisha majavia na cuf na UCHAGUZI. Haiingii akilini huyu jamaa atambe hivyo na waliosambaza hiyo vd wasijulikane!:na wasikamatwe. MATUKIO YA KUUWAWA POLISI KWA...
Hakuwahi kumuua RAIA wake wala kupakia na kuwatosa mtoni, wala hakuwa Joka (nduli) na wala hakuchokoza vita na Tz.Bali hakuwahi kutamani vita na Tz.shida inayofichwa ni Yale maneno (SIWEZI KAA MEZA MOJA NA MUUAJI) Yalio ongelewa na aliekuja kushinda vita ya 1978; hali Yale maneno yalisemwa 1972...
Tuliokuwepo enzi za JKN hakuna alietamani kurudi enzi zake Kwa kipindi chote cha miaka 5 ya Mwinyi. Kila MTU alianza kuhisi Uhuru ndio tumepata sasa. Ni ajabu miezi suta ya awamu hii ilianza vilio kila kona hadi leo nchi imemegeka mapande mawili ya chuki na wenye subra. Naota kuvaa magunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.