Recent content by google helper

  1. google helper

    Vijana wa kiume chukueni ushauri huu

    kwanza mkuu pole sana kwa yote unayopitia na yale uliyopitia, lakini nadhani pia yapo mengi kwa upande wako kama mwanaume ile hali ya ww kutokuwepo sana ndani ya nyumba katika makuzi ya familia yako yote inafanya mwanmke kuanza kujiona yeye ndio kila kitu na kuanza kupandikiza chuki kwa watoto...
  2. google helper

    GE2025 Rasmi, Mahakama yafuta amri ya Msajili wa vyama ya kuzuia ruzuku kwa CHADEMA na kutotambua viongozi

    sijui ni lini hii nguvu ya umma itafanya kazi yake maaana hawa wenye mamlaka wanaweza kufanya lolote wakati wowote na muda wowote
  3. google helper

    JESHI LA WANANCHI SHIKAMOO.

    mambo ni mengi sana
  4. google helper

    Frank Maston picha zake zinanipa shida kuamini ninachokiona

    kwisha habari yake huyo tayari wameshamvunja
  5. google helper

    DOKEZO Kuna Watu wakishirikiana na Wanausamala wanakamata Bodaboda maeneo ya Kariakoo na kuomba rushwa

    hii inchi ina visanga sana ebu fikiria juzi kuna mtu anajifanya ni daktari kabisa na anatapeli watu sasa ni wangapi wanatumia kazi za police kufanya mambo mengine ya kipuuzi kama hao unaowataja ? sehemu nyingi sana kuna wajinga wajinga kibao wanawapiga watu kila siku.
  6. google helper

    Mwili wa Mtu aliyefungwa kwenye Kiroba wapatikana ukielea kwenye Mtaro Jangwani

    maisha haya ni fumbo zito sana, mtu anaua kabisa na kufunga kama mzigona anaenda tupa kabisa mwanadamu mwenzie, ni huzuni kubwa sana. Yote hayo ni katika kutafuta chakula, madaraka na starehe ( uchi) hakuna lingine
  7. google helper

    Kwanini kifuani na si sehemu nyingine za mwili wako?

    aiseeeeee kila kitu na sababu yake
  8. google helper

    Ukitaka kujua mwanamke ni msafi angalia miguu yake

    ila kuna miguu hata usafi uweje iko hovyo sana sijui nn shida
  9. google helper

    Miguno, vilio, sauti za mahaba ukiwa kitandani

    Itoshe kusema kwamba MUNGU ni fundi sana
  10. google helper

    GE2025 Dr. Slaa amejitoa mhanga!

    once a snitch always a snitch
  11. google helper

    Huu ni Uongo na si Chanzo cha Mafanikio asikudanganye mtu

    hao ndio viongozi wa hii nchi, ila fresh na sisi tusihangaike sana tupe watu basi ?
  12. google helper

    Umejifunza nini kwenye uteuzi wa wagombea CCM?

    siasa ni shughuli ngumu sana katika ulimwengu huu unaoweka chawa mbele kuliko wenye uwezo halisi wa kufanya mapinduzi ya fikra
  13. google helper

    Huu ni mwandiko wa Mbunge wa bunge la Tanzania!

    ujanja ni kupata na mwenzio kapata pamoja na kwamba hana lolote la maajabu
  14. google helper

    JEZI MPYA YA YANGA KUELEKEA MSIMU WA 25/26 MWANANCHI UMEIONAJE JEZI HII ?

    mashabiki watasifia na wasio mashabiki wataponda iko hivyo na itabaki hivyo hakuna namna uzuri au ubaya ukaonekana kwa wote
  15. google helper

    Simba watajwa kwenye jezi ya Yanga Baada ya Mach 8 kukimbia mechi

    kweli kila itu ni fursa hapa kwa watani
Back
Top Bottom