Recent content by goodtronics hardware

  1. G

    Hiphop verses challenge

    Ni sisi sisi mafataki wenye vipaji/ Tunatembea tembea na vitoto Vya konyagi/
  2. G

    Hiphop verses challenge

    Back Biters kibao, ukiwapa nafasi bao/ Wataaribu undugu Kwa uzuri wa Shemeji zao/
  3. G

    Hiphop verses challenge

    Narudi ndani kama futi ya fundi ukuta/ Wote Pepo tunaitamani cha ajabu hakuna anaetaka kufa/
  4. G

    Tusaidiane ufafanuzi wa andiko hili...

    Titus 2:11-13 King James Version 11 For the grace of God that bringeth salvation hath appeared to all men, 12 Teaching us that, denying ungodliness and worldly lusts, we should live soberly, righteously, and godly, in this present world; 13 Looking for that blessed hope, and the glorious...
  5. G

    Nahitaji kufanya biashara ya jezi, naomba muongozo

    Habari Mimi ninajua wanapouza zile za quality wanazouza 25,000 reja reja. Kuna Jamaa wanaitwa Joh Sports wanauza 17,000 jumla Wako Kariakoo Mtaa wa Raha na Tandamti Kama sijakosea.
  6. G

    Nyimbo za Diamond Platnumz hazikosi mistari inayoashiria vitendo vya ngono

    Kwa kadiri wanavyotoa nyimbo za aina hiyo ndivyo maadili yanamomonyoka zaidi ktk jamii, kwao hela inazidi kuingia. Wameuza nafsi Kwa shetani with exchange of power, money, ladies. Malipo yao ni kumletea wafuasi zaidi shetani
  7. G

    Lijue Kabila la Waluguru na utamaduni wao

    Niko Msibani, Jamaa yangu kaoa Mluguru, sasa Mke kafariki. Wakwe wametoka Morogoro wamekuja kuchukua mwili wa Mtoto wao wakazike kwao. Huku Mme na watoto wanataka azikwe Dar huku. Tuko kwenye kikao Tunaombea tu Mme na watoto washinde
  8. G

    Pitia hapa kwa vifaa vya mabomba, fittings na sanitaryware kwa ujumla

    Black Shower Mixer Imara na yenye muonekano nadhifu Bei yake 190,000 0714883861
Back
Top Bottom