Mr Bundi
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 327
- 423
Habari wakuu;
Hii thread kwa wale wapenda Hip Hop,unachotakiwa kufanya unashusha verse yako kalii na unayoikubali kutoka ktk nyimbo yoyte iwe ya bongo au mbele alaf mwingine aje aseme hiyo verse ni ya msanii gani na nyimbo inaitwaje,ila verse isizidi mistari minne.
Naanza na verse yangu nnayoikubali;
[emoji444]Kolombwea,maisha ya kuungaunga hii shughuli mi naiweza[emoji444]
[emoji444]Hapa utaambulia ushauri ukihitaji msaada wa kifedha[emoji444]