Za bei rahisi hujui Chief..?Habari
Mimi ninajua wanapouza zile za quality wanazouza 25,000 reja reja
Kuna Jamaa wanaitwa Joh Sports wanauza 17,000 jumla
Wako kariakoo Mtaa wa Raha na Tandamti Kama sijakosea
Mkuu nataka ujuzi na mim maana mtaani hakuelewek..Mkuu nawewe ni mhanga
Sawah japo nao inakuwaga ngumu kutoa siri za kambi
Nipo Dar mkuu..Mkuu kwani uko wapi