Recent content by goodluckgunda

  1. G

    Bitcoin exchange

    Tembelea localbitcoin.com
  2. G

    Bodi ya Mikopo(HESLB) waachia majina ya wadaiwa sugu kuanzia mwaka 1994 hadi 2014

    Nilijaribu sana kufuatilia kama kuna njia ya mtu kulipia kulipia mkopo wake kwa njia ya mobile money au benki ila sikukuta eneo lolote hawa bodi walipo weka "UTARATIBU WA KUTAKA KUREJESHA MKOPO". Usikute hii ndio changamoto ambayo wengi wanaikuta kutokujua jinsi gani ya kurejesha hii mikopo...
  3. G

    Nimefukuzwa kazi, niweke pesa kwenye kamari ipi nipasue?

    Hongera.. wewe ni mfano wa kuigwa na wanawake wengine.
  4. G

    Majanga yaliyonikuta kwa kutokunywa maji mengi, usiombe yakukute

    Pole sana mdau, inabidi uanze kakata maji kama samaki, pia maji hufanya ngozi kuwa yaa kitoto na nyororo hata ukizeeka.. Ambaye hanywi huwa anakuwa na ngozi iliyo kakama ukimuangalia. Pia kama bado uvivu upo wa kunywa tembela usemi huu uliovuma sana "UKINYWA MAJI MENGI UTAKUWA MWEUPE".
  5. G

    Jeshi la Polisi: Mazoezi yanayoendelea ni ya kawaida, hayalengi kuzuia shughuli zozote halali

    Tumezoea kusikia redioni "katumbuliwa" na tunachekelea sana.. sasa kwa ambao tupo nje tumeanza kumchokoza Raisi makusudi kwa kutokutaka kufanya kazi kuachana na mikutano isiyo rasmi.. " Tutatumbuliwa tu tusipo kuwa makini".. Ni ushauri tuu watanzania wenzangu..
  6. G

    Msaada kuhusu makampuni ya kuuza vocha!

    Mobistock, Mfumo mpya wa kutumia simu yako ya mkononi unaokuwezesha kuuza kama wakala, Luku, vocha za kurusha za airtel, vodacom, tigo, zantel, smart na halotel. Kulipia dstv, startimes, azam, smile internet, box office na vifurushi ya zantel na tigo vya maongezi na internet. Kwa kila...
  7. G

    Jiajiri kwa mtaji wa 11,500/=

    Huduma ya luku ipo na inafanya kazi. Luku inauzika kwa wateja wanao tumia Mashine (pos) za mobistock tuu
  8. G

    Jiajiri kwa mtaji wa 11,500/=

    Pole sana ndugu, hadi sasa Mobistock tuna zaidi ya miaka mitatu na tuna mawakala zaidi ya 75,000 nchi nzima.. Hii ni dhahiri kuwa huduma imepokelewa vyema katika jamii bila kuwa na shaka wala wasi wasi nasi. Tunaendelea kurahisisha huduma kupatikana karibu nawe, kukuongezea faida na kukupatia...
  9. G

    Jiajiri kwa mtaji wa 11,500/=

    1. Naomba uelewe kuwa Mobistock sio Rifaro au biashara ya kushirikishana (network marketing) ndugu.. Huduma hii inafanana na kama mawakala wa max malipo au selcom. 2. Ili kujiunga katika Mobistock unatakiwa uwe na mtaji wa kwanzia tshs. 10,000 au zaidi na uwe tayari umeiweka katika akaunti yako...
  10. G

    Jiajiri kwa mtaji wa 11,500/=

    mtaji ni tshs. 10,000 au zaidi unapo anza kazi baada ya hapo unaweza kuweka kiasi chochote kile kulingana na wateja wako wanavyo ingia dukani kwako kujipatia huduma.
  11. G

    Tupia majina ya baa za kibongo

    "Ukiingia Hutoki" bar
  12. G

    Faida elfu 30 kwa siku

    KARIBU SANA NDUGU MOBISTOCK, usisite kuwataarifu na wenzio juu ya mobistock.
  13. G

    Faida elfu 30 kwa siku

    Ndugu, unaweza izalisha pesa yako zaidi endapo utapenda kujiajiri na Mobistock kwa mtaji ulionao wa kuanzia 10,000/= tu. Mobistock inakuwezesha wewe kuwa wakala ambaye utatoa huduma tofauti tofauti katika jamii kwa kutumia simu yako ya kila siku ya kiganjani. Huduma utakazoweza kuzifanya ni...
Back
Top Bottom