ymollel
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 3,095
- 2,294
Ili kusajiliwa unatakiwa uwe na kianzio cha mtaji ndugu hapo hapo ulipo na umekwisha kiweka katika akaunti yako ya mpesa / tigo pesa au airtel money, ndipo utume details zako uweze kusajiliwa. Baada ya kusajiliwa unatakiwa uweke salio ndani ya saa moja ili menyu yako ifunguke. Kushindwa kufanya hivyo akaunti yako itajifunga na hutoweza kuitumia tena.
Asante kwa jibu lako...
swali lingine : uweke salio ndani ya saa moja ili menyu yako ifunguke Naomba unieleweshe hapo kwamba unawekaje salio? na hiyo ni tofauti na kile kianzio cha sh 10,000/= ?
Swali lingine: Account ikishakuwa ACtivated inatakiwa isikae Idol kwa muda gani ili isifungiwe? namaanisha kama sijawa na ofisi bado account yangu itafungiwa baada ya muda isipotumika?
Asante.