Msaada kuhusu makampuni ya kuuza vocha!

clemence mtei

Senior Member
Feb 11, 2014
100
21
Naomba kupewa elimu juu ya kampuni ya kuuza vocha na kupata kamishen kuptia aitha mpesa au tigo pesa na ukauza vocha mitandao yote nje na Rifaro
Asante
 
Naomba kupewa elimu juu ya kampuni ya kuuza vocha na kupata kamishen kuptia aitha mpesa au tigo pesa na ukauza vocha mitandao yote nje na Rifaro
Asante

Mobistock,

Mfumo mpya wa kutumia simu yako ya mkononi unaokuwezesha kuuza kama wakala,

Luku, vocha za kurusha za airtel, vodacom, tigo, zantel, smart na halotel.

Kulipia dstv, startimes, azam, smile internet, box office na vifurushi ya zantel na tigo vya maongezi na internet.

Kwa kila muamala ufanyao na kukamilika utalipwa kamisheni papo hapo ya 4 -5% kwa vocha, 10% startimes, dstv 2%, azam 1%, smile 1%, luku 1.5%

* Pia tunazo mashine (POS) za kuuzia Luku na huduma zingine zilizo tajwa hapo juu kwa tshs. 450,000/=, hii nashine itabaki kuwa yako, hatuitaji nyaraka zozote zile kutoka kwako, itakufikia ikiwa na mtaji tayari wa tshs. 100,000 ndani na kwa wateja wa mikoani watagharamia usafiri kuwafikia ila kwa walioko Dar hakutokuwa na gharama yeyote ya usafiri bali kufika na kuichukua ofisini baada ya kufanya malipo hayo katika akaunti yake ya Mobistock.

ILI KUSAJILIWA KUJIUNGA NA MFUMO HUU TUMA

1. Jina kamili
2. Namba yako ya simu
3. Eneo ulilopo

kwenda 0755 572 777 au 0655 057 212.

* Unacho takiwa ni kua na mtaji wa 10,000 au zaidi tayari katika akaunti yako ya mpesa, tigo pesa, airtel money au ezy pesa kama unataka kutoa huduma katika simu yako na kwa mashine (pos) uwe na tshs. 450,000*

* Tahadhari, usikubali kumpatia mtu pesa yoyote akuunganishe mobistock kwani huduma inatolewa "bure" na gharama utakayo katwa ni tshs. 500 tuu baada ya kusajiliwa kama wakala mpya*

MOBISTOCK BIASHARA MKONONI *150*33#
 
Back
Top Bottom