Recent content by goldfish

  1. G

    Ni yupi chaguo la Kikwete?

    kuweni na subira mkishaona DR HUSSEIN MWINYI katangaza nia tuu baasi piga ua garagaza huyo ndio rais atakayemrithi JK, nadhani anasubiri wote wamalize kurusha kete zao na yeye afunge dimba.
  2. G

    Dina Marios afunguka bifu lake na Zamaradi Mketema

    ukisoma hiyo meseji ya dina ukailewa utajua kuwa ishu hapa si zamaradi ila ni mzee wa fitna ruge. manake diana anadai anafanyiwa revenge kutokana na mtu wake wa karibu ambaye revenge hii haimuathiri huyo mtu. basi hapa ni ncha kali tu alivyoondoka wakaona wamkomoe mama watoto wake. jamani ruge...
  3. G

    Picha: Norah ajikumbushia enzi zake

    mwenzangu hakubore tu alkunywa hadi sumu ati amechokwa kuandikwa kwenye magazeti!
  4. G

    Ali Kiba amfunika Shilole show yake ya USA

    hakuna cha after rugby party wala after hockey party, kitu kilibuma!! He he he diamonds are foreveeerrrrr... Ngoja nikagawe likes mie na rahajee???
  5. G

    Ningekuwa Ally Kiba

    diamond are foreveeeeeer
  6. G

    Male to Female journey of Bruce Jenner

    mume wa kwanza wa kris jenner alikufa na cancer miaka miwili mbele baada ya kuachana na kris na alikuwa akiishi na mwanamke mwingine ambaye alimuoa baada ya mwezi akafa.na boyfriend wake wa sasa ana miaka 34 na sio 29 kris ana 59. na aliyesambaza sex tape ya kim ni ray j akidhani anamkomoa kim...
  7. G

    Male to Female journey of Bruce Jenner

    bado hajatoa kifanyizio hivyo hutoweza, anasubiri baada ya mwaka ajue kama ataondoa kifanyizio au la! ila bado gegedo lipo ndugu usije ukaenda yakakukuta mengine.
  8. G

    Alikiba Vs Diamond: Unfair competition

    ati k 4 real???? DIAMOND ARE FOREVERRRRRRR!!!!!
  9. G

    King AlliKiba kwenda kuishangaza dunia mwezi huu

    bravooooo hakunagaa kama mondi bin laden… mie leo nagawa likes tuuu!!!!
  10. G

    Yaliyojiri Mwitongo, kutangaza kuwania urais kwa Makongoro Nyerere

    yes ana mke na watoto mkewe ni jaji mfawidhi huko moshi ana wivu hatareee aisha makongoro or aisha nyerere alikuwa jaji arusha muda mrefu naona sasa kahamishiwa moshi.
  11. G

    Natamani kuwa Mkenya

    kila mtu na maamuzi yake, happy blue monday!
  12. G

    Natamani kuwa Mkenya

    hapo ndo panapokera maneno meengi mara maisha bora kwa kila mtanzania huku hata maji safi ni tatizo sasa ni safari ya matumaini utafikiri nchi ina ngoma hadi inakera! mafisadi wameshika hatamu kila leo wanasafiri nje wanaona maendeleo ya wenzao ila wakirudi bongo hata hawajifunzi wao wanawaza...
  13. G

    Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!

    ati maisha bora kwa kila mtanzania mh!! ilitakiwa iwekwe wazi maisha bora kila fisadi full stop. subirini butwaa DR HUSSEIN MWINYI ndio atakayemrithi jk.
  14. G

    Kutoka ukumbi wa BoT Mwanza: Wassira atangaza nia kugombea Urais

    lady jaydee lazima ampe sapoti wasira sababu ni baba yake mdogo kabisa
Back
Top Bottom