Mchiwa Ng'ambaku
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 959
- 803
kwa taarifa yako hakuna mwanamziki na mwenye uwezo wa kuimba kama THE KING jamaa yupo bomba sana kuanzia sauti mpaka kutawala jukwaa. K 4 REAL
Leo mumetumwa kwa Kiba nini mana vinyuzi vingi visivo na kichwa wala miguu vimezidi humu. Mtajibeba kiba atabaki kuwa Kiba tu nyie hangaikeni Mpaka mchoke
Naona anamzimia sana King.Huyu hakuna haja ya gharama ni wa kuchukua bure tu.
Hahahahaaa leo hadi najiuliza kulikoni jamani?
Bora umenijuza mwaya.
Ngoja wampe ukweli ili afanikiwe..tatizo mashabik wakiba hamtaki kumshaur msani wenu,
Paka leo hajatoa video wimbo tulisha usahau siku nyngi,
Sankoro sankoro
Staki huo mwimbo ni mbaya hujanivutia hata chembe.