Alikiba Vs Diamond: Unfair competition

Alikiba Vs Diamond: Unfair competition

jamani acheni kupoteza muda hapa jf, mambo yote ni kwamba kiba ni habari nyingine
 
Kwa mara ya kwanza nimekosa la kuongezea kwa sababu mengi mazuri yameshaongelewa ni wajibu wa KIBA KUCHUKUA KAMA USHAURI ILI ASONGE MBELE AWAACHE WAKINA LUKELO SAKAFU WANAOSHABIKIA BILA YA KUMWAMBIA NINI ANATAKIWA AFANYE
 
bora umelijua hili kuwa kiba ana uwezo mkubwa

jamani acheni kupoteza muda hapa jf, mambo yote ni kwamba kiba ni habari nyingine

Ujue binafsi simlaumu Kiba, 80% ya wasanii bongo wanawaza soko la ndan, so mawazo yao, investment zao ni soko la ndan

99% ya wacheza soka bongo wanawaza Simba na Yanga

99% ya wasomi bongo wanawaza wafanye kaz Bot,TRA, na kushika vitengo fulan kwenye mashirika ya umma makubwa na wizarani

So kufikiria kimataifa, ni msamiati mpya kwetu, ndo maana si wasanii,wanamichezo wala wasomi wanaopeperusha bendera ya nchi kimataifa had kufika level ya kujisikia fahari.

kama wasomi wapo wengi na elimu kubwa kuliko Kenya,Nigeria Etc lakin ukienda kwenye mashirika ya kimataifa hao jamaa ndo wana post zote

Vipaj vya soka na ushabiki wa soka bongo ndo kwao lakin hakuna ajenda ya kimataifa

Kuna watu wanatalent et, mi kwenye kuimba sijawah ona mtu mwenye uwezo mkubwa wa kuimba kama Marlow, saut nzur natural kama AliK, Uwezo mkubwa wa kuperfom jukwaan kama TID,Makomando , uandish mzuri wa rylics kama Fid,Na ustad kwenye muzik kama Barnaba

Amin amin nakwambia kat ya hao wote hapo juu wanauwezo mkubwa sana wa kufanya maajab ktk nch hii bt ni only tu watakapo badilisha focus yao kuipeleka kimataifa.

Diamond na Ay lets say wanachozid wengine ni wana element za ujasiriamali, ambazo wanazi apply kwenye musik wao, mtakesha mkibishana kuwa mbona Mwana FA anaghan na ana flow nzur zaid ya AY bt Ay ndo anakuwa juu had kufika levo za kuwa manager wake??

Ningekuwa Alikiba ningeomba Diamond asimamie uandaaji na usambazaji wa track yangu moja then nione matokeo yake amin amin nakwambia hyo track ingenifanya niwe juu zaid na zaid na pengine had kumfunika vibaya sana lakin si kwa hiv sasa imavyoendelea

#Saynotounfaircompetition
 
Kweli sio fair kabisa kumfananisha kati ya King Kiba na mtwana Dai, sababu King Kiba yeye ana kipaji na sauti halisi tofauti na mtwana Dai.

KingKiba anajibeba mwenyewe ila mtwana Dai anabebwa na Davido, mr.flavour pamoja na Godfather yani bila hivyo hapa tungekuwa tunaongea mengine.

KingKiba anafanya mziki safi usio na fitina, husda na majungu lakini mtwana Dai anafanya mziki wa fitina husda.

Kingkiba ni kijana anaamini katika mafanikio yasiyo na uzandiki wowote ila yule jirani yake mtwana dai kazi zake ni ushirikina na waganga.

Furaha yangu ni hii kwamba watanzania bado wanatambua uwezo na mchango wa KingKiba ndiomana mpaka leo maelefu ya washabiki bado wapo naye na ndio hao waliompa tuzo za watu juzi, na ndio hao watakaoenda kumpa tuzo 7 za KTMA wiki hii.

Unakuta fan wa Alikiba kama wewe na lukelo sakafu mpo busy mnataman siku ya KTMA ifike fasta ili mchukue tuzo 7 na mmkomeshe Diamond

Ofcourse inawezekana ,lakin kumbuken kuwa wakati nyinyi mnapanga kufanya hivyo dogo alivunja hyo recod ya tuzo 7 mwaka jana, so hamtaweka new record bali mtakuwa tu mnalipa kile kilichotokea

Bt sad enough ni kuwa hata kama mtachukuwa tuzo 7 itakuwa mainly sababu ya hii unfair competition, Pengine hilo ndo litakuwa faida pekee ambayo mtaipata through hii unfair competition

Bt kwa taifa itakuwa hasara, ule ujinga ulio jaa vichwa vya wasanii,wanamichezo,na wasomi wa nchi hii wa kuringia vipawa na kusahau kuweka strategy za kimasoko na mbinu za kutanuka kimataifa utaendela kukua vichwan mwao sababu utakuwa umepata mtetez kuwa "mbona Kiba kapata tuzo 7 na hastruggle kama Diamond"
 
Last edited by a moderator:
Ali kiba ni mtu wa ajabu sana anabebwa na mashabiki wake jitu halibebeki jamaa anani bore kishenzi!
 
Well said mtoa mada,teamkibabu wehu,wanapenda kujitoa fahamu mpk panapo ukwel.alikibabu anafilisika kifedha,kiakili na kimashabiki sababu ya diamond the monster of Africa.
 
tutoleeni mataarabu yenu hapa, dume zina linaimba taarabu jicho hilooo

Tulia wewe taarabu inachezwa intaneshnale
Bofya hapa kushuhudia mchezaji wa Man city W.Bonny akimwaga miuno wimbo wa taarabu wa Diamond ft Kopa.
Watu ooooh taarabu eeeeeh taarabu haya sasa ndimu inakuhusu Sakafu
 
Wabongo bhana shida kweli mtu ana kipaji ila hajitumi na bado mnakomaa nae??? Kiukweli inahitajika kupungukiwa akili kidogo ili kusapoti....
Akae na kipaji chake na umaarufu wa kwenye ndondo..


Diamond huyooooooo next level...Dunia ya sasa ni kujituma kazini na hivyo ndivyo diamond hufanyaaa.
Nakusapoti DIAMOND na sio fair kulinganisha hawa watu wawili kabisa.
 
Kiba anabebwa sana sana na mashabiki wake lakini masikini habebeki
Mwezi wangapi huu sasa kichipa cha cheketua kimekua hadithi

To be honest sio fair kuwapambanisha hawa watu kama kweli tuna mtakia mema Kiba, maana ataishia kuishi kwenye kivuli cha Chibu tu
Chibu hivi sasa yupo kwenye ubora wake na ana target soko la mbali tofauti na Kiba
 
Mzee yusuph anaingiza ngapi au waweza mlinganisha na huyo kiba wako
 
msanii gani kila siku wanawake tu ili apate kiki hana jipya huyo na mataarabu yake,dume zima linaimba taarabu? idioty

Mzee yusuph mwanamke yule..n nnyumb si chini ya kumi na biashara..haya ww baki na uanaume wako....ufanye kazi y kujiliww...
 
Kweli sio fair kabisa kumfananisha kati ya King Kiba na mtwana Dai, sababu King Kiba yeye ana kipaji na sauti halisi tofauti na mtwana Dai.

KingKiba anajibeba mwenyewe ila mtwana Dai anabebwa na Davido, mr.flavour pamoja na Godfather yani bila hivyo hapa tungekuwa tunaongea mengine.

KingKiba anafanya mziki safi usio na fitina, husda na majungu lakini mtwana Dai anafanya mziki wa fitina husda.

Kingkiba ni kijana anaamini katika mafanikio yasiyo na uzandiki wowote ila yule jirani yake mtwana dai kazi zake ni ushirikina na waganga.

Furaha yangu ni hii kwamba watanzania bado wanatambua uwezo na mchango wa KingKiba ndiomana mpaka leo maelefu ya washabiki bado wapo naye na ndio hao waliompa tuzo za watu juzi, na ndio hao watakaoenda kumpa tuzo 7 za KTMA wiki hii.

tunzo saba kusema kuwa.....mdogomdogo haichukui tunzo bora ya wimbo wa mwaka...aah bwanaa.hata kama hizo.fitna mtakuwa mmezidisha
 

Below is a list of the 10 most viewed music videos by bongo flavour's artist
1. Number one(remix)- Diamond ~ 8,776,520
2. Number one- Diamond ~ 4,384,532
3. Ntampata wapi- Diamond ~ 4,072,701
4. Mdogo mdogo- Diamond ~ 3,660,493
5. Leka dutigite- kigoma all stars~ 2,494,719
6. Nasema nawe- Diamond ~ 2,146,132
7. Mwana - Alikiba ~ 1,908,359
8. Usinisemee - Alikiba ~ 1,882,658
9. Nalia kwa furaha - kylin ~ 1,703,321
10.Mama ntilie- AT/Ray C ~ 1,406,486

Nawasilisha wanajamvi
Source ni youtube

#Saynotounfaircompetition
 
Back
Top Bottom