Kimbley
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 3,050
- 2,107
Akidhani alikua anashangiliwa kumbe anachekwa. Wanaitwa imba kwenye kitchen party afu wajitapa hapa. Kupiga show US si rahisi ki hivyo.
Teh!teh! ahahaaa!!!!!
Akidhani alikua anashangiliwa kumbe anachekwa. Wanaitwa imba kwenye kitchen party afu wajitapa hapa. Kupiga show US si rahisi ki hivyo.
Na zile show za Chibu vipi? Mbona wanajaa?au chibu yeye sio msanii wa bongo?
Chinga One soma hapa. I'm talking from experience.Naona wengi mnamkandia kiba bila kujua hali halisi. Wasanii wetu karibu woote wanaokuja kutumbuiza Ulaya (mi nipo London na nimehudhuria show nyingi tu za wasanii wetu), huwa wanatumbuiza kwenye ukumbi mdogo sana ambazo huingiza watu kama 300 hivi.
Wasanii wa Bongo ambao walitumbuiza kwenye ukumbi mkubwa na wakajaza basi ni yamoto band walivyokuja London. Nini tatizo? Wengi wanaokwenda kwenye show ni Wabongo, tena wachache wanaopenda kutoka. Tofauti na wenzetu Wakenya na Waganda huwa wasanii wao wakija basi utashangaa ukumbi unavyojaa.
Juzi kati alikuja Diamond hapa London na picha zikapigwa kuonesha watu wamejaa sana. Lakini nataka kuwambia na najua wengine wanajua; ile event ilijaa Wakenya wengi sababu ilitangazwa kama "after rugby party".
Hizi huwa ni event za Wakenya na zinafanyika kila mwaka mwezi wa tano, hivyo siku hiyo ni kama Diamond alidandia tu na kama wasingesema ni "after rugby event" basi wasingepata watu kama vile. Hizi show huwa zinajaza Wakenya mpaka police wanakuja kuzuia watu wasiingie ukumbini.
Hivyo msitoane macho kwa kudhani wasanii wetu huwa wanajaza kumbi za Ulaya na Marekani, hali huwa ni hivyo hivyo tu.
![]()
hio picha ni front row,mkono wa Ali Kiba unaonekana hapo. Na mwisho wa ukumbi unaoneka nyuma,sasa tuseme ukweli kuna watu hata 100 hapo???
Mbona huo ukumbi ni kama counter ya bar?
Hao watu ni chini ya 25 kwa hesabu za haraka haraka. C kwamba tunafurahia lakini inasikitisha sana yan kana kwamba Tuna msanii mmoja tu Tanzania. Mana Kenya Jaguar alipata watu wengi na Sauti Soul US tour zao.
Diamond show zake sikuhiz wanaenda adi wathungu hataree.
Aache kuperform kwenye pub sasa King"
Ndio level zake huyo....with shilole!
Na zile show za Chibu vipi? Mbona wanajaa?au chibu yeye sio msanii wa bongo?