Ni yupi chaguo la Kikwete?

Ni yupi chaguo la Kikwete?

kuweni na subira mkishaona DR HUSSEIN MWINYI katangaza nia tuu baasi piga ua garagaza huyo ndio rais atakayemrithi JK, nadhani anasubiri wote wamalize kurusha kete zao na yeye afunge dimba.
 
kuweni na subira mkishaona DR HUSSEIN MWINYI katangaza nia tuu baasi piga ua garagaza huyo ndio rais atakayemrithi JK, nadhani anasubiri wote wamalize kurusha kete zao na yeye afunge dimba.

Hatupigii kura mwislam tena hawana akili ya kuongoza nchi,rejea kwa baba ake na jk.
 
1. Je ni Lowassa? Rafiki yake mkuu aliyemsaidia kuingia ikulu mwaka 2005?

2. Je ni Bernard Membe anayepigiwa upatu na familia ya Kikwete?

3. Je ni Makongoro Nyerere asiye na makundi ndani ya chama wala kashfa za ufisadi?
The answer is .............damu ni nzito kuliko maji.
 
Yupo yupo anangoja aone nani yuko mstari wa mbele katika huu utitiri wa wagombea ili naye aunge tela kuonyesha huyo ndiye mgombea anayempigia chapuo.
 
kwani wabunge wa chadema sahizi unawaona wote bungeni? Ukipata jibu njoo tukueleweshe sasa.
Hujaelewa dhumuni la bandiko hili, angalia picha ya January Makamba, ukipata jibu njoo tukueleweshe.
 
Back
Top Bottom