Basi la skyline linalofanya safari zake kutoka Dar kwenda Arusha (T335 DGB). linatuibia abiria wake kwa kututoza nauli tofauti wakati wote tunaelekea sehemu moja..
Mfano mimi wamenicharge 32800, kuna mtu nimepanda nae yeye kalipa 18000, kuna dada amelipa 30000 mwingine yupo nyuma yangu...
Real madrid wamshukuru neymar kwa kukosa magoli kibao ambayo yalikuwa open chances kabisa ... Na pia neymar alikuwa mchoyo wa pasi , alipoteza mipira mingi sana na alikuwa anachelewesha mashambulizi kwa kukaa na mpira bila sababu...
Real madrid bahati yenu mmefungwa goli mbili tu
Hamna lolote u begged for it... Mimi wakenya siwapendi nikimkuta mkenya na nyoka wana njaa bora nimsaidie nyoka nimwache mkenya afe cuz they are so primitive
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.