Mishahara kwenye taasisi inapangwa kulingana na vyeo kwa hiyo ni vigumu sana kugeneralise kwamba taasisi flani wana pata mshahara mkubwa kulipo taasisi fulani bila kutaja specific job category au cheo, muulizaji angeweza kuuliza labda kwa vyeo vya kuanzia watu wenye elimu ya degree kwenye...
nenda ofisi ya mkuu wa wilaya iliyo karibu na wewe mtafute mtu anaitwa DSO hawa jamaa ndio wanapewa taarifa za nafasi kama zipo na ndio wanarecommend watu wa kuajiriwa na TISS. Naamini atakupa ushirikiano na ushauri mzuri kuhusu jinsi wanavyoajiri
mdogo wangu nakutaarifu kwamba huku Serikalini kwa muundo wa sasa wa kada za utumishi hakuna ajira au nafasi ya kazi ambazo vigezo vyake ni kumaliza PCM au PCB, Huku Serikalini ajira ambazo zipo kwa waliomaliza Kidato cha 6 nyingi zipo kwenye Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama napo hawanglii...
mdogo wangu nakutaarifu kwamba huku Serikalini kwa muundo wa sasa wa kada za utumishi hakuna ajira au nafasi ya kazi ambazo vigezo vyake ni kumaliza PCM au PCB, Huku Serikalini ajira ambazo zipo kwa waliomaliza Kidato cha 6 nyingi zipo kwenye Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama napo hawanglii...
mtoa mada hujaeleza vizuri! wewe ni mwalimu wa shuleni au chuo cha ualimu? manake siku hizi walimu wote wa shule mwajiri wao ni mkurugenzi wa halmashauri, isipokuwa walimu wa vyuo vya ualimu ndio bado wapo chini ya wizara ya elimu.
Ni vigumu na haiwezekani kuhamishwa ukiwa mwalimu ukahamishiwa...
kama yule Denis Berkamp aliyekuwa anachezea Arsenal, jamaa alikuwa hapandi ndege kabisa na kama timu yake ya arsenal ilikuwa inakwenda mbali ambapo usafiri ni ndege tu alikuwa haendi yeye ni mabasi na treni . jamaa alikuwa changamoto sana kwenye timu yake
Kigwangala sio makosa yake ni makosa ya kamti kuu ya ccm kumpitisha kugombea ubunge wakati wana ccm wa nzega hawakumpitisha. anajivunia kiburi cha mama 1
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.