Kubadilisha wizara

mbaraka.m

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
209
37
Habari zenu wadau!naomba kujuzwa,inawezekana kubadilisha wizara bila kuacha kazi eg ulikuwa teacher later on ukasomea kilimo.Is it possible ukashift from wizara ya elimu kwenda wizara ya kilimo?
 
Inawezekana. Kama wewe ni mwl andikaka barua kupitia kwa mkuu wa shule, afisa elimu kwenda kwa mkurugenzi. Unaomba kubadilisha kazi(job recategorization) ambatanisha cheti cha fani mpya ulizoisomea
 
unaweza kufanya secondment yaani kufanya kazi kwa kuazimwa kwa muda wa mwaka mmoja kisha ukiona mazingira yanaruhusu utaomba kubaki moja kwa moja.barua andika kama ulivyolekezwa hapo juu ila ongeza address ya katibu mkuu ofis ya Rais menejiment ya utumishi wa umma maana wao ndo wanatoa kibali kwani recategorization huwa inachelewa kidogo kila raheli.
 
Kumbuka nakala ya barua yako ifike kwa. 1. Katibu mkuu ofisi ya Rais, menejiment ya utumishi wa umma. S.L.P 2483 DAR. 2.katibu mkuu ofisi ya waziri mkuu, tawalaza za mikoa na serikali za mitaa. S.L.P 1923 DODOMA.3. Katibu tume ya utumishi wa umma. S.L.P 9143 DAR.
 
thanx a million times
 
Huyu wa kwenye bold hahusiki.Mambo yote yanaishia kwa Mkurugenzi wako (Mwajiri) kama alivyosema Mkulima wa Kawaida hapo juu. Ila ni lazima kuwe na nafasi iliyowazi of which is very possible hasa ukizingatia uhaba wa maafisa kilimo kwenye Halmashauri zetu.
 
Kumbuka nakala ya barua yako ifike kwa. 1. Katibu mkuu ofisi ya Rais, menejiment ya utumishi wa umma. S.L.P 2483 DAR. 2.katibu mkuu ofisi ya waziri mkuu, tawalaza za mikoa na serikali za mitaa. S.L.P 1923 DODOMA.3. Katibu tume ya utumishi wa umma. S.L.P 9143 DAR.
Hii sio muhimu sana. Labda Idara ya Utumishi wa Walimu (TSD) pale Wilayani inaweza kushirikishwa kwa ushauri. Mwajiri wako ndie mwenye wajibu wa kuwajulisha hao wengine kwamba sasa amekubadilishia Cheo (Recategorize) kutoka Mwalimu kuwa Afisa Kilimo
 
Kumbuka nakala ya barua yako ifike kwa. 1. Katibu mkuu ofisi ya Rais, menejiment ya utumishi wa umma. S.L.P 2483 DAR. 2.katibu mkuu ofisi ya waziri mkuu, tawalaza za mikoa na serikali za mitaa. S.L.P 1923 DODOMA.3. Katibu tume ya utumishi wa umma. S.L.P 9143 DAR.

izi zote ni complication,dada yangu kaanza kazi mpya wiki ilyopta,alikuwa mwalimu wa shule ya msingi zen kabadilisha sasa ni afisa maendeleo ya jamii.alichofanya baada ya kumaliza chuo aliambiwa aandike barua ya maombi aombe kubadilisha aina kazi ipitishwe na mkuu wake wa shule,mkuu wake wa idara zen ipelekwe kwa mkuu wa idara anayotaka kuhamia,ilichukua kama wiki 3 hv zen akapokea barua akikubaliwa ombi lake na kupangiwa kituo cha kazi na usafiri juu (pikipiki).haya yote yamefanyika ndani ya halmashauri hakuna cha wizarani wala nini.
 
Ubadilishe wizara halafu uende wapi?kama umesomea kilimo tutakupeleka ukafundishe shule zenye mchepuo wa kilimo?sawa?

Habari zenu wadau!naomba kujuzwa,inawezekana kubadilisha wizara bila kuacha kazi eg ulikuwa teacher later on ukasomea kilimo.Is it possible ukashift from wizara ya elimu kwenda wizara ya kilimo?
 
mtoa mada hujaeleza vizuri! wewe ni mwalimu wa shuleni au chuo cha ualimu? manake siku hizi walimu wote wa shule mwajiri wao ni mkurugenzi wa halmashauri, isipokuwa walimu wa vyuo vya ualimu ndio bado wapo chini ya wizara ya elimu.
Ni vigumu na haiwezekani kuhamishwa ukiwa mwalimu ukahamishiwa wizarani au ofisi nyingine kwenye fani nyingine.hata kama umeisomea.
Unachotakiwa kufanya kama umesomea fani nyingine uombe kubadilishiwa kada ndani ya huyohuyo muajiri wako wa sasa, ukishabadilishiwa kada let say kama wewe ni mwalimu na umesomea mambo ya kilimo , ukishabadilishiwa kuwa afisa kilimo ndani ya muajiri wako wa sasa, hapo ndipo unapoweza kuomba kuhamia wizarani kwenye kada hiyo mpya ya uafisa kilimo
 
nashukuru kwa taarifa,mi ni mwalimu wa secondary lakin nimesomea kilimo.nimekusoma ndugu!!
 
walimu ndo wana kimbia mojamoja Elimu inaporomoka watu wanakimbilia green job.

mkuu masawe hamna jinsi!ukikaa sana huku utapata mgonjwa wa moyo hususan kwa sisi vijana!hamna future ya maana kwenye chaki.so lazima ukiingia huku ufanye plan B ili na watoto wapate kufaid national cake baadae
 
Back
Top Bottom