nimeitwa kazini afisa tarafa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nimeitwa kazini afisa tarafa.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mama Jolene, Feb 22, 2013.

 1. M

  Mama Jolene Member

  #1
  Feb 22, 2013
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wakuu namshukuru sana Mungu maana nimepokea barua ya kuitwa kazini. Cha ajabu hawajatoa majina kwenye web. Kuna siri gani hapa?
   
 2. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2013
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 14,368
  Likes Received: 2,504
  Trophy Points: 280
  We mzuri mzuri iv?
   
 3. akenajo

  akenajo JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2013
  Joined: Oct 21, 2012
  Messages: 1,564
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Nenda karipoti kazini,ujenge familia
   
 4. Bright Smart

  Bright Smart JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2013
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 645
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  wewe nenda kapige kazi ujenge taifa, mambo ya kutoa majina kwenye web hayana cha zaidi Afisa tarafa,kwani uliapply through web!!!, au unahitaji kapromo nini ulimwengu ujue kuitwa kwako bibi afisa!!
   
 5. C

  Chibolo JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2013
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 2,809
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  hivi kazi za afisa tarafa ni zipi jamani na wanaajiriwa kwenye idara gani?
   
 6. M

  Muarubaini JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2013
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 223
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  goma, usiende kazin mpaka watoe majina kwenye web dada ehe.
   
 7. k

  kimondo Senior Member

  #7
  Feb 22, 2013
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni Mtanzania wewe? Au ulifanyiwa usaili?
   
 8. m

  mahundi jimi Member

  #8
  Feb 22, 2013
  Joined: Jan 10, 2013
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hongera sana kapige kazi kijijini sasa....
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2013
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hongera sana nenda kakemee rushwa
   
 10. m

  maswi d Member

  #10
  Feb 22, 2013
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Iko hivi ndugu.... Wakati wa usaili wa mahojiano marks hutolewa kwa kila mtu. Wale wote waliopata zaidi ya 50 huchukuliwa mfano, tangazo linataka watu 10 na mliopata zaidi ya 50 ni 20, 10 huchukuliwa then 10 wengine hubaki reserve.
  Ikitokea nafasi mpya kama hiyo, hao walioko reserve hupangwa mpaka wakiisha ndo tangazo la nafasi kama hiyo hutangazwa tena...

  Hicho ndo kilichotokea kwako ila wewe naona ulikuwa unataka uonekane kwenye mtandao kwamba umepata kazi................
   
 11. G

  Godwin Mneng'ene Verified User

  #11
  Feb 23, 2013
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 217
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hongera sana na karibu katika utumishi wa umma, umepangiwa wapi?
   
 12. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2013
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 0
  Mwisho wa kazi yako ni 2015. Tukichukua nchi kwenye sera ya majimbo sijui kama tutawahitaji Makatibu Kata/Tarafa.

  Hongera lakini kwa sasa, ila kafanye kazi kwa uadilifu walau muda ukija tukutafutie kazi mbadala.
   
 13. p

  pinkpink Member

  #13
  Feb 23, 2013
  Joined: Feb 2, 2013
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  siri gani unataka badala ya kushukuru..wabongo bwana
   
 14. Offline User

  Offline User JF-Expert Member

  #14
  Feb 24, 2013
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 3,703
  Likes Received: 1,332
  Trophy Points: 280
  Unataka advataizi kwamba jina lako ukigugo linatokea kwa net? ama kweli dunia ina mambo!
   
 15. P

  Ptz JF-Expert Member

  #15
  Feb 25, 2013
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  Hongeza ushaitwa na watu wa usalama lakini kukuhoji kidogo?
   
 16. D

  Dakile Member

  #16
  Feb 25, 2013
  Joined: Feb 15, 2013
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera ROSINE SWAI
   
 17. M

  Mama Jolene Member

  #17
  Feb 26, 2013
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  zilitangazwa mwaka jana mwezi May nafasi 145
   
 18. M

  Mama Jolene Member

  #18
  Feb 26, 2013
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  nimepangwa nzega mjini
   
 19. M

  MBOOYA JF-Expert Member

  #19
  Feb 26, 2013
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 290
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni zile walitangaza mwezi may 2012 au? Mi nli apply ila cjapataga fidbak kabisa..
   
 20. K

  Kinywele1 Member

  #20
  Feb 26, 2013
  Joined: Feb 25, 2013
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Hongera, kafanye kazi sasa!
   
Loading...