Recent content by Godoro la kioo

  1. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Kuna mimba kweli hapa au ndo najazwa kwenye mfumo

    Single mother mtaani ndo wengi ukilinganisha na wale ambao hawajazalishwa maana hao ambao siyo single mother wengi wanafunzi ko kwa nanmna yoyote mtego wa kudate na single mother ni ngumu kuukwepa ,, maana unaweza kuikuta pisi na ukasema hii nimeopoa halafu baadae inakuja kukwambia ina watoto wawili
  2. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Kuna mimba kweli hapa au ndo najazwa kwenye mfumo

    Shukran
  3. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Kuna mimba kweli hapa au ndo najazwa kwenye mfumo

    Inawezekana sema nakuwa mzito kuchukua maamuzi kwa vile sina ushahidi wa kutosha ingawa naona kila aina ya dalili
  4. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Kuna mimba kweli hapa au ndo najazwa kwenye mfumo

    shukran mkuu
  5. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Kuna mimba kweli hapa au ndo najazwa kwenye mfumo

    Ulikuwa na njia nyingi za kuwasilisha maoni yako bila kutukana anyway shukran kwa maoni yako
  6. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Kuna mimba kweli hapa au ndo najazwa kwenye mfumo

    Ni ile sogea tukae sijamttolea mahari na hata huo mpango sina maana nilimkuta na mtoto ingawa mtoto yupo kwa bibi yake
  7. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Kuna mimba kweli hapa au ndo najazwa kwenye mfumo

    Salam wakuu. nisiwachoshe moja kwa moja kwenye mada Wakuu kuna binti nimekuwa nae karibia miezi sita Sasa miezi kama miwili iliyopita aliniambia mara nyingi amekuwa ni mtu wa kujisikia hovyo, nikamuuliza anijisikia hovyo kivp Akasema amekuwa ni mtu kuhisi kichefuchefu, muda mwingine...
  8. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Kama umri ungerudi nyuma, kosa gani usingethubutu kulifanya tena kwenye mahusiano?

    Kiukweli kwa mimi Chaputa , ndiyo punyeto kama kuna kosa nililifanya basi ni kumsikiliza rafiki yangu alienishawishi nikaingia kwenye huo mchezo wa kujichukulia sheria mkononi
  9. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Wenzangu mnaishije na jirani anayefungulia sabufa hadi mwisho

    We umenishinda tabia
  10. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Wenzangu mnaishije na jirani anayefungulia sabufa hadi mwisho

    haya bhana sema daah nimecheka sana
  11. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Wenzangu mnaishije na jirani anayefungulia sabufa hadi mwisho

    Kipato ndo changamoto kubwa
  12. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Wenzangu mnaishije na jirani anayefungulia sabufa hadi mwisho

    Hakina ceiling board bado najitafuta si unajua tena Ina maana hapa ni kama kambi mtu ukichoka na makaz ya hapa na pale unakuja kupumzika hasa wakati wa kupumzika ndo unakuja unakutana na hayo makelele
  13. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Wenzangu mnaishije na jirani anayefungulia sabufa hadi mwisho

    Bora yako wewe umeelewa ni kitu gan nachoongelea kiukweli ni kero siyo siri
  14. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Wenzangu mnaishije na jirani anayefungulia sabufa hadi mwisho

    Hapa nilipo tupo wapangaji nane sasa kama tukisema wote tushindane kwa kufungulia sauti hadi mwisho wote si tutaonekana vichaa
Back
Top Bottom