Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 456
- 1,002
- Thread starter
- #41
Inawezekana kweli mi ni chalii lakini kwake yeye hapanaAu wewe ni Chalii kweli jamani?
Miaka 25 yeye ana 20
Inawezekana kweli mi ni chalii lakini kwake yeye hapanaAu wewe ni Chalii kweli jamani?
Kwa nini ukaishia hapoNimeishia hapo anapokuita chalii
Mwsnsmke anakuwsje mbabe nyumbani kwako bana ww sio mwanaume aisee
Ngoja hapa namsikilizia nije nimsuprisekudadeki muhuni huyo hakuna mke hapo
Asante kwa ushauriDogo nisikilize kwa makini, Leo ukirudi Nyumbani akiwa imetulia, Mwambie Mimi Maneno yako na tabia zako za kukosa adabu siziwezi, sikutaki tena chukua kila kitu chako nauli nakueletea page begi uondoke.
Kuna Mawili kwenye hatua hii.
1. Hatorudia tena jambo hili na unanipigia simu unipe zawadi( Nina uhakika) na utaishi naye kwa Raha mstarehe
2. Kama hauendi na Hana Nia wala dhamira ya kukuheshimu ataondoka Leo Leo, na ni Bora aondoke maana Hana faida wala Maana kwenye maisha yako.
Both results zina faida kwako na mstakabari kwako
Mbona makasiriko wewe unapata faida gan kumtukana mtu ambae humjui...au ndo umeona mimi ndo sehemu ya kutolea stress zakoUmuelezee wewe baba yake acha utahiraaaa
shukran mkuuHizo pigo zote anazokuletea na sio kwenye ndoa, ukimuoa si atakumalizia humo ndichi?
Kuna vitu lazima ujiongeze kama kidume, tumia akili achana na mjomba wa chini asikutawale.
Piga chini akakutane na oya wenzake, OYA OYA kama ametoroka milembe.
#Hallelujah!!!
Nilitakaa niulize kanda ya ziwa kweli??Huyo sio mjita mkuu ni chuga 🤣🙌😂
Atakuwa dem wa chugastan huyoSalam. Wakuu moja kwa moja kwenye mada
Wakuu nina demu wangu yapata sasa miezi minne kabila lake ni Mjita
Kiuhalisia hana shida kwani ananifanyia kila kitu ambacho mwanamke anatakiwa kumfanyia mwanaume
Lakin kuna tabia moja naona imeanza kunichosha
Demu ni mbabe mbabe haswaa
Ana kauli za kibabe mpaka kuna muda nakaa najilaumu
Mkipishana kidogo utasikia '' Yaani mimi kuachwa wala hata siwazi'' au "ww kama hunitaki niambie hata sasa hivi"
Nishamuonya sana anadai atabadilika baadae tena unakutana na hali ile ile
Kuna muda unaweza ukamuuliza kitu hilo jibu utakalokutana nalo likakupandisha hasira
Kuna siku tulipishana kidogo akaanza kudai tuachane mara tafuta mwanamke mwingine nikamuuliza "unamaanisha" akajibu "ndiyo" nikaitikia "sawa" na nikampotezea cha ajabu anakuja kunitafuta anasema alipitiwa
Demu ukimuita utasikia anaitika oyoo
Kuna muda ananiita Chalii
Mpaka kuna muda nahisi au ndo ile kaliba ya matomboy au labda malez aliokulia
Nyie wenzangu mnawezaje kuishi na wanawake wa hivi
Wajita wapo hivyo mimi nilikutwa na mkasa huo,na hata baada ya kuacha alikuwa hivyo na bado yupo hivyo,kwakuwa mtoto alikuwa mdogo nilijikaza kuwa naenda kumcheki mtoto ili akue akiniona na kunijua though mtoto ukimuona kafanana na mama kila kitu.Nilitakaa niulize kanda ya ziwa kweli??
Au mjita aliyekulia chuga
mwojeshe joto la jiweNdo kama hivyo anakwamb
ia mimi kuachwa kama kunywa maji tu wala siwazi
Hapo kwenye lugha za kiume wala siyo tatizo sanaKuna dada mmoja nilisoma naye advance, mpaka chuo. Yeye sio mbabe, ana super qualities za wife material. Sio mtu wa ugomvi wala kashikashi za anasa za kidunia. Ila ana hizo lugha za kiume oyaa, freshi, inakuwaje mzee baba, nk ila binti ametulia ni lugha zake tu.
Huyo sasa ndiyo dhaifu kweli kweli , jaribu kumpa anacho kisema uone.Salam. Wakuu moja kwa moja kwenye mada