Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 436
- 934
Huo mwandiko sasa unachefua macho
Anyway alieelewa atueleweshe
Anyway alieelewa atueleweshe
Letaa vyumaahabari ndugu zangu hatimaye ni siku nyingine tena katika dunia hii..mungu atuzidishie afya na kwa wale walio na ugojwa poleni na mungu awajilie afya murejee sawia..
sasa tayri nimepata passport na nimeshiba nimejilaza kwa kitanda cha wageni mishale ya saa 3na 4 hivi pembeni ashtrei inafuka vimoshi taratibu kuashiria kuna kitu kimechomwa
kichwani sasa hakili imeganda tyuu inawaza pakuchee safari niianze mke wangu alipiga ghafla mara ya pili maana tulitoka kuzungumza so mda na mala hii si voice bali video
nahisi alitaka kujiaminisha isije ikawa nimevusha ka mrupoo akaniuliza baba nanii
nikamjib naama ma mtu..
kwan kesho unaamka mda gani?
nikamwambia mhh kumi na moja hivi.maana inabidi niiwahi gari inaondoka 12
akajibu ok mume wangu nakupenda
anha nilisismka nikamjibu kw huba mke wangu
nikashusha pumzi nikasema Nakupenda kwa dhat mke wangu..
alitabasamu akajibu asante ulale mnono byee..
nikamjib bye akakat sim..
akili ilikuwa imeamishwa kwa muda maana
mapenzi hayana mshindi yalimshinda samson
yakamshinda jack wa titanic sembuse mm msela tyu
aya sasa natafakali mapenzi hisia zikawa juu zaidi ya akili nikawaza dah sas hii tufunyuu ataitufua nani maana napoenda sijuhi kwanza ntachukua muda gan kurudi yan naenda sehem na sijuhi lini ntarudi haaa ihii ilinistua kidg hila nikjipa moyo kama ni lako basi ni lako tyu maana shamba lisilo limwa utalijua kwa manyasi yake..
basi nashituka na mlio wa A05 aram inabonga kinoma inapiga kelele mbaya ..nikaitap ikazima nikastuka mzee nikaunda chuma nikae rada nikawasha gari moshi kibao natafuta mzuka wa kuoga.
chap nikapiga mswaki nikapiga maji mzee kara kodi zangu chana nywele unyunyuu kama kawaa pysiii pyssi kweny kwapa kweny t shiry uyo nikachomk kuelekea stend hapo umbali wa kutoka stend na gest sio mbali mda nao ulikuwa unasogea ikawa ni kumi na moja na madakik zake
kwa mbali namuona mtuu anavuta kitu mdomon skustuka hila nikajipa aram kwamba mtu mbele umemuona na now so salama sana na hapa wew n mgeni
moyo ukastuka kidg maana navyozidi kumkalibia na mtu mwingine anaongezeka mara wakawa watatu
mhh kichwan aram ikasema hapa so pausalama mkonono nna kibeg kidg kina viatu na mgongon nna beg la nguo kiufupi niko mzito vitu ni vingi nmebeba
mmoja akaanza kunisogelea kwa mbele akawa ananifuata kwa tahadhari kubwa nikashika beg la mkononi kwa nguvu
akili ikanambia usipambane kimbia na mwili na ona umegoma kbsa tempo ikaanza kunipanda
nikajikuta nmeropoka tusi kubwa la nguoni
kwa lafudhi ya dar ...ghafla yule jamaa akasimama
akaita Mbongoo kwa lafudhi ya kia
anhaa pumzi ikashuka kitaratibu nikasmile hile ya kishkaji nikampa gwala nikamwambia anha naona mnafosi wanangu ..
wakajib enhee msela siunjua mida hii atuelewii kwa lafudhi ya wachuu sasa
unajua hilikuwa hiv hadi kuniita mbongo
kipindi nmefika nishaweka mzigo yangu gest s nilienda kutafuta mazingira ya kijamaica..sasa huyu alikuepo pale kwenye lile group la niliowakuta na nilitoa hai na nikaacha stoki 2 waishi nazo yani kama nilikuwa nmejenga ukaribu bila mm kuelewa manufaa yake
ndugu zangu tujifunze kueshimu kila mmoja unayekutna nae hili hali yupo katika upande upi usioneshe utofauti..hili limenisevu sijui ingekuaje hile siku hila nilipita na kuenda zangu moja kwa moja mpaka stend ya kigoma ndani na kuhulizia gari za bunjumbura
jamaa akanambia
bro we kaa pale umeziona zile costa pale
enhe nimeziona
pale ndo zinaenda bunjumbura vip tiket akaniuliza
ninayo kaka nimechukua jana
akanmbia poa basi siku nyingine w nenda pale..
sasa moja kwa moja hadi kweny gar za kwend bunjumbura kwa kuwa nmewahi nkakuta watu si wengi
nikadadisi kuona wasafiri wenzangu ni kina nan nikaona wote ni warundi na wanaongea kirundi sana kiswahili ni kupapasa kidg sana..
konda nae akawa amekuja
akaanza kupanga mizigo maana burundi kiualisia ni nchii inayokuwa kwahiy bad kunasehm usafiri n shida
basi wakapanga mizigo baadhi ya mizigo wakasema kama mmebeba nguoo mpya au vitenge vipya basi mvitoe au mjiandae kulipia tukifika boda konda
akatia tena jaman
enhe kwel bana kuna jamaa alikuwa kafungasha mzigo ya nguo na kitenge kidogo
ikawa sasa n mvute nkuvute wa kond na mwenye mzigo konda anatka vitu vikatwe vitenge hila mwenye mzigo ataki
konda anakaza kwa sababu anjua pale borde atafanya gari lichelewe sanakuondoka kwa sabab yake..
sas abiria wakaingilia kati wakiongea kirundi yan hamn nililodaka hata moja zaidi ya kuona jamaa amepewa kitenge chake avishike mkononi..
bas tukazama ndani raia wote hapo amna cha siti wew wahi utapokaa ndo utaskizia safari
kwenye kukaa kama kawaida dirishan ndo i like
pemben alikaa jamaa mmoja hiv
mm mda huwo nmepakat begi langu begi la viatu lipo chin ya siti..
basi safar ikaanza chuma ya Dangote ikatoka kigoma kuitafuta manyovu border ndogo ya kuingia burundi kufika bunjumbura..na ndio njia hiyo hiyo kufika rwanda na kwingine..uko
sasa kufika round about ya manyovu tukshuka down hile ya kwanza kali kidogo gari ikasimamishwa na afisa wa magration wa tanzania
wakasalimia habri habria na mda uwo konda akaongea kirundi nikaona watu wanatoa passport zao
na mm nkafanya hivy hivyo..
wakakagua na tukaludishiwa na safari ikaendelea sasa tumefika kwenye pasport migration center hapa ni kugongesh sasa kwamba unatoka au kama unarudi burundi
mhhh tukashuka wote tukazikusanya passport kwa konda
konda akanambia maana nlimfata pekeangu nikamuuliza oya bro sasa hizi zikipotea inakuaje maana ...akanmbia nisiwaze yupo makin
niwe makin kuskiliza jina lang nikiitwa niende kuojiwa..
aya bana tukawa tumekaa kwenye benchi
huku maafisa wa huamiaji wakiendelea na shughuli zao..majina yaliitwa na kisikia jina langu
nikaitika yeas sir..nilijikuta tyu nmeitika hivyo
hadi ndani..maongezi na migration ndo yalinitoa kwenye reli kabisa ngoma ilikuwa hivi
jamaa ni hawachek asee
wew unaitwa nani
nkajibu fulani
umezaliwa wap nikajib sehm fulani
hii pasport umepata wap
nikajibu shem fulani kuna agent wen ndo amenipa
wakataka number yangu ya nida
number yangu ipo kichwan kama number ya siri mzee nikaitema jamaa akanizoom tuu ..akanmbia nioneshe ndui yako
hapo sasa mm ndui kiukweli sina sasa sijuhi ilikuaje maan m nlikuwa mdogo hivyo aiwezekan kaka yangu awe nayo na mm ikosekane mzee nikakomaa kuitafuta nikawaonesha makovu anha shughuli ikawa pevu kamanda embu mkague huyu ndui akaja jamaa fulani hiv akanivuta mkono akanambia toa koti nikasaula mjomba apo sielew mana passport ndo kila kitu unjua ...kichwan nawaza sasa hapa itakuaje wakinkazia na bamdogo hajui lolote bado dah.
ngoma ikawa ni mungu nisaidie ..we bwana wew ndui hauna
ndo jibu alilotoa kamanda
kuna kamanda mwingine akaulizwa eti hii inawezkna
akajibndio sasbab hata kaka yangu halikuwa hana akachomwa tena alipokuw mkubwa..so inategemeana na ngozi y mtu..cozi m n mweusi so makovu kufutika ni rahis zaidi..
basi option ikawa n moja tyu kunipima finger print
weka vidole hapo kimoja gumba then vinne kwa pamoja.
sijuhi waliona nini kipapew kartas yangu ya pasaport na wakagonga muhuri wao..mda huwo konda yupo njee ananisubiri mimi kumbe hile shuhuli ilikuwa ni ndefu wenzangu wote wasafili walikuwa tayr bado mm tyu chaap bas konda akanmbia..
dah akanambia kwan shida nini nikamwambia m enyewe sielew babu tuondoke
basi bwana sas imebaki upande wa burundi migration yao tartb chuma ikaanza kuondoka tukashuka nomatherland ile down kali sasa mara chuma ikahama upande badara ya kushoto akamia kulia tyr nikanots ndo tumezama mpaka wa burundi sasa
pale kuna sehm mbili kote nilipita vizuri kufika kwa ofisi ya burundi ya huamiaj mambo hayakuwa mengi
swal n moja unaenda kufanya nn na unakaa muda gan
anha mm n dereva na fundi naenda kukaa miez 6 boss
kamjib akataka chake nikampa
akagonga miezi sita visa mi uyoo nikasepa sas vipengele vya border vimekwisha..
narudi kweny gari mhh ndo kizaa zaaa sas begi la mmoja limkutwa na kete za majani ya mchicha alimalafu ...mtevenyoo baba.
ni nooma ikawa msako msako jamaa anatafutwa mwenye begi ....
alikaa hapa kumbe n yule jirani yangu mzee sikuamini konda alivyokuwa ananielekezea kidole mimi sikuelewa maana alisema kirundi
mala naona polisi wananisogerea wakanfkia hapo sielew lolote mmoja akansemesha kirundi skuelew kimwambia kiswahili sawa..
akanmbia hili begi mnalipleka wapi ?
moyo ulipiga maana nmeona lile begi limetolew vitu halamu..
begi gani ?
nikaoji ?kwan mk s nna begi langu na si hilo ??
wakuuu samahanini sana kama naandika vibaya hila asanteni sana kwa wote wanaonipa motisha ya kurudi tena na kuandika naandika haya nikishukr sana mungu maana duniani ni mtego...