Recent content by Godfreymwasubila

  1. G

    JamiiForums Tanzania Walimu wa shahada wanaajiriwa kulingana na asilimia za mkopo walizokuwa wakipata chuo

    Kaka Makuku Rey, unalipa kisasi kwa yule aliyesema 'ajira hazitatolewa kwa watu wa social science? kiswahil na history.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Wanaume wakwel wapo jamani

    kama ulifaulu MATHEMATICS kidato cha nne kwa alama 'C' NI PM. mi bonge la mwaminifu.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Walioso mbeyaday sec

    Shule Ilikuwa Poa Mkuu! S.p Shauri,alisaidiana Na Akina Nswila,hastings etc! mkuu ulimalza mwaka gani pale mbeya sec?
  4. G

    JamiiForums Tanzania Tumbo Langu lajaa gesi,hasa pale ninapokula! msaada plz!!!

    Wakuu,dada yangu ana tatzo la kujaa gesi tumboni hasa pale anapokuwa amekula. Tatzo Ni nini kwa wanojua? nataka nimsaidie dada yangu
  5. G

    JamiiForums Tanzania Serikali ibadili taasisi zifutazo kuwa vyuo vikuu

    Waziri Wa Elimu Wa Kesho! mh! Ni shida!
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mhe. Sugu Kutunukiwa Phd Ya Heshima Tar. 28/12/2013

    Mtoa Mada Muongo! weka uthibitisho na picha! tutaamini vip?
  7. G

    JamiiForums Tanzania Msaada history paper ii (a-level)

    Nashukuruni Wakuu! JF ni chama kubwa nilijua matatizo yangu yatatatuliwa nkfika humu! thnx again
  8. G

    JamiiForums Tanzania Msaada history paper ii (a-level)

    =mayuni;Africa and europe in 15c Black people in the new world Crisis in capitalism From imperialism to colonization of africa Threat to the world peace Rise of democracy in europe. NASHUKURU WAKUU COZ NILITINGWAA! thnx jamii forum
  9. G

    JamiiForums Tanzania Msaada history paper ii (a-level)

    Wana Jf, naomba msaada wa orodha ya topic za HISTORY II,ambazo zinatakiwa kusomwa A-LEVEL,coz hapa mpaka nachanganyikiwa! nisaidieni ndugu zanguni!
  10. G

    JamiiForums Tanzania ajira za walimu taarifa

    AJIRA=25,000 kwa ngazi zote. cheti,dploma,degree na vyuo vya ualimu, jumla yao wote 35,000. watu 10,000 out of emplyment. thnk twice.USIJE UKAWA WEWE
  11. G

    JamiiForums Tanzania Wezi noma sanaaa..

    Siku nyingne fuga mbwa wengi then make sure,wigo wako ni mrefu na kuna geti zito la chuma.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Pigo kwa Kwa Ccm tena...!!!

  13. G

    JamiiForums Tanzania Kwa wanao fahamu

    za nini? coz kesho naenda rufaa,naweza kukurushia. hatu
  14. G

    JamiiForums Tanzania Waalmu TARAJARI GRAD A, diploma, degree Tukutane hapa

    Duh! Hapa chenga tu!
  15. G

    JamiiForums Tanzania Ni rasmi sasa VODA inafukuza wateja

    Jamani Musilaumu! Tupo tunaandaa vifurushi vya kufungia mwaka,mutafurahi nyinyi! kuwa na subira. VODACOM KAZI NI KWAKO!
Back
Top Bottom