Nakubaliana na wewe Kwa asilimia kubwa japo si Kwa asilimia Mia moja...
Ukiangalia Ile top ten ya matajiri duniani, wale karibu wote walikuwa wako bright Sana darasani, Musk,Mark,Dell,Huang, Buffet,Bezos na wengine, hawa wote hawakuwa vilaza au average, ni top performer kitaaluma...Ukija Hapa...