Vita dhidi ya jamii ya LGBTQ+ nchini, ugumu uko wapi? Tukumbushane....

The Dictator

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
4,486
Reaction score
12,335
Inaonekana ni ruksa kulingana na hotuba ya boss kipindi fulani huko nyuma. Lakini kwa nini? Labda mikataba inayosainiwa na viongozi wetu huko juu? Ila wanakaa kama hawajui chanzo kiko wapi🤔.

Wanasema ustaharabu mpya, wafanyane wakubwa kwa wakubwa. #Haki za binadamu

TUnaogopa Kanisa Katoliki litapiga kelele sana na kuwaambia mabwana zao US na Vatikani kuwa tunakiuka haki za binadamu
Si uliona hata tulivyojaribu kumtumia mkatoliki mwenzao Bashite walivopiga makelele mpaka akafungiwa na US ?
 
Inaonekana ni ruksa kulingana na hotuba ya boss kipindi fulani huko nyuma. Lakini kwa nini? Labda mikataba inayosainiwa na viongozi wetu huko juu? Ila wanakaa kama hawajui chanzo kiko wapi🤔.

Wanasema ustaharabu mpya, wafanyane wakubwa kwa wakubwa. #Haki za binadamu

View attachment 3705096

Kuna kamstar kembamba sana kanatofautisha hili suala. Na ndio maana watu wengi hawaelewi.

Tanzania hairuhusu mapenz ya jinsia moja. Au ndoa au kuhamasisha kwa namna yoyote haya masuala.
Ndio maana sheria iko ukikutwa unafirw..a au kufi...a unahukumiwa miaka 30 jela.

Ila hawa watu. Hata tukiwakataa, tunakuwa tunajidanganya. Maana wako na tunaishi nao (mashoga).
Na ukitoa ushoga walionao. Bado ni binadamu na wanahaki zote kama ulizonazo ww.

Sasa njia nzuri ya Kuishi nayo ni wao wafanye ujinga wao huko wakiwa wamejifungia. Wasitoke hadharan kujisemea kuwa wanafanya, wasiupromote na wasiwafanyie watoto.

Kama mtu mzima ameamua kwa dhati kutolinda mgongo wake. Basi afanye kwa kificho huko. Ni viungo vyake.
 
Watawala ndio wafadhili wa ushoga. Samuya alisema fanyaneni nyie wenyewe wakubwa sio mwende na kwa watoto.
Badala ya kukemea kabisa, anatoa option
 
Ushaambiwa kina mama gwajima wameamua kukaa kimya juu ya suala hili ni ngoma nzito. Ukiwagusa wapenzi wa jinsia moja tu utakuwa umewagusa wafadhili na wahisani, utanyimwa misaada kwa kuambiwa unasigina haki za binadamu
 
Naona alikuwa anaongea kwa tahadhari. Si unakumbuka kipindi anatoa hii hotuba ndio kwanza alikuwa kaanza kukaa pale juu baada ya mwendazake.
 
Ushaambiwa kina mama gwajima wameamua kukaa kimya juu ya suala hili ni ngoma nzito. Ukiwagusa wapenzi wa jinsia moja tu utakuwa umewagusa wafadhili na wahisani, utanyimwa misaada kwa kuambiwa unasigina haki za binadamu
Hii vita ni ngumu kwa ufupi.
 
Ugumu upo kwenye mstari wa Haki za binadamu. Wale wanafiki wanaojiita watetezi wa Haki za binadamu watakujia juu, wanataka ushoga ushamiri lakini hawataki Elimu wala umaskini utuondoke.
 
Watawala ndio wafadhili wa ushoga. Samuya alisema fanyaneni nyie wenyewe wakubwa sio mwende na kwa watoto.
Badala ya kukemea kabisa, anatoa option

Sidhan kama watawala wanafadhili ushoga.
Sidhan kama watawala wanafadhili umalaya na kujiuza.

Haya mambo mawili. Ukikomaa nayo, kuna siku Raia wenye hasira kali wataamka na kuua hawa watu kwa kisingizio kuwa Kiongoz Flan kahamasisha.

Unakumbuka visa vya Ushoga Uganda.
Museven mwenyewe alikemea ushoga hadharani. Na kukawa na kamata kamata ya mashoga weng. Na wengne wakakimbilia Kenya..

Kuna mashoga wawili walichomwa moto hadharani na Raia.
Na kwasababu ya Influence ya Raisi wao.
Baada ya yale matukio mawili. IGP wa kwao alitoka hadharan na kukemea wananchi kujichukulia sheria mkononi. Na ile operation ikafa.

Kwahiyo umeona Namna maneno ya Viongozi yanavyoweza Kuchochea mauaji.

Sasa hili suala sio la kukurupuka.
Maana wao wana Haki ya Kuishi.

Na ndio hiyo Haki mataifa ya Ulaya na Marekani ndio inatetea.
Na sio kuhamasisha Ushoga.
 
Nchi huru lakini tunashindwa kusimamia sheria zetu wenyewe kisa wafadhili.

Hao jamaa wawe strict na kwenye demokrasia na utawala bora,kumbe tunawagwaya!!
 
Ugumu upo kwenye mstari wa Haki za binadamu. Wale wanafiki wanaojiita watetezi wa Haki za binadamu watakujia juu, wanataka ushoga ushamiri lakini hawataki Elimu wala umaskini utuondoke.
Umeanza vizur.
Ila umemalizia vibaya.
Kwa maoni yangu.

Sheria iko ya kukataza mashoga na ushoga.
Na kifungo kiko.

Changamoto ni kuwa mashoga nao wana haki ya Kuishi. Ukikataza hadharani kuwa Nchi yetu haitaki mashoga.
Kuna mtu ataua mwenzake na kusema yule alikuwa anajihusisha na ushoga.
Either anahusika au hausiki. Ila ameshauliwa.

Sasa hii ndio Haki wale wanaotetea haki ya Binadamu wanaihubiri.
Na sio kuipromote Ushoga.
 
Kuna kamstar kembamba sana kanatofautisha hili suala. Na ndio maana watu wengi hawaelewi.

Tanzania hairuhusu mapenz ya jinsia moja. Au ndoa au kuhamasisha kwa namna yoyote haya masuala.
Ndio maana sheria iko ukikutwa unafirw..a au kufi...a unahukumiwa miaka 30 jela.

Ila hawa watu. Hata tukiwakataa, tunakuwa tunajidanganya. Maana wako na tunaishi nao (mashoga).
Na ukitoa ushoga walionao. Bado ni binadamu na wanahaki zote kama ulizonazo ww.

Sasa njia nzuri ya Kuishi nayo ni wao wafanye ujinga wao huko wakiwa wamejifungia. Wasitoke hadharan kujisemea kuwa wanafanya, wasiupromote na wasiwafanyie watoto.

Kama mtu mzima ameamua kwa dhati kutolinda mgongo wake. Basi afanye kwa kificho huko. Ni viungo vyake.
Ndio maana sheria iko ukikutwa unafirw..a au kufi...a unahukumiwa miaka 30 jela.

Mkuu hapo kwa anayefirw** sijui anahukimiwa kwenda jela ya jinsia gani maana akienda jera ya kiumeni itakuwa tatizo hiyo sheria waangalie upya
 
Wazungu wanafiki kweli Ushoga wanatuletea na wanataka tuufate, Lakini technology hawataki kushea. Watupe mbinu za kuleta maendeleo sio ujinga ujinga tu.
Sisi ndo tujifunze kuishi kwa kujitegemea, mbona huko Saudi Arabia wazungu hawapeleki hayo mambo ya ushoga wakati waarabu sheria zao kuhusu ushoga ni kali kuliko zetu?
 
Mkuu hapo kwa anayefirw** sijui anahukimiwa kwenda jela ya jinsia gani maana akienda jera ya kiumeni itakuwa tatizo hiyo sheria waangalie upya

Ni kweli.
Ila Jela ukigundulika unafanya vitendo cha Ushoga. Adhabu ndio inazidi. Utachapwa mijeledi na Utatengwa.

Labda isirepotiwe.
Ila wakireport kuwa bado unaendelea na ushoga ni adhabu ingine inaongezeka na kutengwa.
 
Umeanza vizur.
Ila umemalizia vibaya.
Kwa maoni yangu.

Sheria iko ya kukataza mashoga na ushoga.
Na kifungo kiko.

Changamoto ni kuwa mashoga nao wana haki ya Kuishi. Ukikataza hadharani kuwa Nchi yetu haitaki mashoga.
Kuna mtu ataua mwenzake na kusema yule alikuwa anajihusisha na ushoga.
Either anahusika au hausiki. Ila ameshauliwa.
Kusema kuwa kuna Sheria ya kukataza Mashoga halafu unasema tukisema hadharani kuna mtu ataua wenzake Hilo moja Kwa moja haliingii akilini maana tayari iko Sheria na inabidi ifuatwe na sio kujichukulia Sheria mkononi, hakuna Haja ya kuwa na Sheria ya mambo hayo ikiwa tunaogopa kutangaza hadharani, sasa Sheria iko kwaajili gani?, Tatizo ni moja Tu, ni kwamba Misaada ya wahisani tunaitaka na mikataba tunaingia so guts za kupambana lazima tukose.
Sasa hii ndio Haki wale wanaotetea haki ya Binadamu wanaihubiri.
Na sio kuipromote Ushoga.
Ukisoma Kwa makini Haki inayotetewa na hao watu ndio Ku promote ushoga wenyewe, haisimami kama Haki ya kuishi pekee Bali hiyo Haki ya kuishi ina mambo mengi ndani Yake, Haki ya kuishi Sisi hatuitafakari huwa tunaichukulia juu juu but ina maana kubwa Sana na haipo Kwa Babati mbaya.
 
Back
Top Bottom