EricMan
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 4,068
- 7,353
hata huku mkuuuMimi whatsApp yangu imegoma shida ni nini
hata huku mkuuuMimi whatsApp yangu imegoma shida ni nini
Ana U.T.I kichwani, na ni U.T.I ya kuzaliwa nayo.Wewe si mjinga kila mtu anakujua
NPVNiaje ni ipi mkuu? Tusaidiane
Huu msaada huu mh!
Hapo kwenye kuchat na nyapu imefanya nikupe like!Inategemea na Simu unayoitumia na gharama yake. Mimi WhatsApp yangu iko vyema tu na hapa nachati na Nyapu.
Mimi whatsApp yangu imegoma shida ni nini
Wewe jamaa nilipumbafu,thus why nilichana kundu lakoInategemea na Simu unayoitumia na gharama yake. Mimi WhatsApp yangu iko vyema tu na hapa nachati na Nyapu.
Asante kwa Like yako.Hapo kwenye kuchat na nyapu imefanya nikupe like!
Walifungia mitandao nimepata shida sana hata kutuma pesa kwa njia ya internet bankingMi nikajua yale ya kufungiwa intanet yamerudi tena. Ikabidi niingie huku nione kama ni kweli au tatizo ni simu yangu