Recent content by Gluton

  1. G

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mama mzazi wa Mshana Jr amefariki dunia

    Rest in Eternal Peace Mama Mshana Jr.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Hali ya kibiashara hairidhishi, biashara zaendelea kufungwa!

    Hata majalalani paka wamepungua masalia ya vi parcel vya nyama choma vimepungua kama sio hakuna. [emoji23][emoji23] Michemsho ya kuku No !! Watu chai harage huu mwezi wa 4 sasa. [emoji23][emoji23]
  3. G

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa fedha kwa mabenki upoje? Mbona chumaulete hawaendi kuiba huko?

    Uelewa wa Pesa za Bank as in Finance Management ?? (Well YES) Hzo imani potofu za hela za mazingaombwe sijui nn. Well Big NO !! Ingekuwa hvyo magicians wangekua wanakimbizana na Bill Gates kwa mafuba.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa fedha kwa mabenki upoje? Mbona chumaulete hawaendi kuiba huko?

    Kabisa Mkuu. Mimi nimeshategewa sana mitego ya kipuuzi kama hyo na sijapoteza hata Tsh 100 yangu.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa fedha kwa mabenki upoje? Mbona chumaulete hawaendi kuiba huko?

    Sio bank tu, Mimi mwenyewe siibiwi kiboya boya hvyo. Chuma Ulete, What rubbish is that ??
  6. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba niwasaidie heart broken men and women kama nilivosaidiwa mimi

    U did the right thing.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Napenda sana marafiki wahuni msaada tafadhari

    Nonsense.
  8. G

    JamiiForums Tanzania JamiiForums ina mambo

    JF kila mtu ni " Super Mogul " [emoji23][emoji23]
  9. G

    JamiiForums Tanzania JamiiForums ina mambo

    Pale unapotongoza mchepuko JF bila kujua huyo huyo ndio mkeo wa ndoa nyumbani. [emoji23][emoji23][emoji23]
  10. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna mambo lazima ukubali yalikupita.

    Hakuna kitu raha duniani kama kugegeda dem aliyekuzidi umri (atleast 5 - 7 years). Daaah !! [emoji1]
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

    Habari zenu wakuu, Husika na kichwa cha habari hapo juu, nimewaza nifanye biashara ya urembo i.e. mikufu, hereni, shanga, other wearables et al za kina dada kwa jumla na reja reja maeneo ya Kkoo. Naombeni ushauri wenu wapi naweza pata mzigo mzuri kwa bei nafuu ili nipate faida nzuri nikiuza...
  12. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ugomvi ndani ya nyumba unaweza kufanya ujinyonge?

    Tema mate chini, yasikie kwa watu hvyo hvyo. Nlishaapa sitakaa nimpende mwanamke yeyote yule 100 / 100.
  13. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nachukia msichana unaanza kumtongoza kwa maneno laini ukijua mstaarabu kumbe..

    Be assured changu hilo.
  14. G

    JamiiForums Tanzania WWE John Cena autwaa mkanda wa WWE Championship

    Ivi awamu hii bado kuna watu wanafatiliaga haya mambo ?? [emoji23][emoji23] Im not judging though kila mtu ana starehe yake.
  15. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania X wako anaporudi huwa kasahau nini hasa?

    I feel u beib. Me too
Back
Top Bottom