Ulinzi wa fedha kwa mabenki upoje? Mbona chumaulete hawaendi kuiba huko?

MONA WA KYEN

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
340
271
Naamini mnaendelea vema na shughuli za kila siku poleni kwa majukumu maana changamoto zimekuwa nyingi.

Kuna swali ambalo huwa najiuliza kila siku kutokana na yale unayokuta wakati mwingine yakiongelewa mtaani. Kuna watu huwa wanalalamika kuibiwa pesa kwa njia za miujiza "chuma ulete" na nimekuwa ninazisikia ni muda sasa, lakini ninakuwa ninajiuliza kama huu wizi wa technologia kama hii upo?

je kwa nini hawa wataalamu wasiende kuiba benki kwa namna hii? ninakosa majibu ndo maana nikaamua kuuweka hapa wenye uelewa na hili wanisaidie benki huwa wanalindaje pesa yao dhidi ya chuma ulete? au hiki kitu hakipo?
ahsanteni.
 
Nilipata kusikia kua chuma ulete anachukua pesa isiyo hesabiwa sasa bank zinahesabiwa kiingiacho na kitokacho hata wewe ukiwa unafanya biashara kwa hesabu hakuna chuma ulete.
 
Kabisa Mkuu.
Mimi nimeshategewa sana mitego ya kipuuzi kama hyo na sijapoteza hata Tsh 100 yangu.
 
UNAO UELEWA WOWOTE KUHUSU CHUMA ULETE NA PESA ZA BANK MKUU?
Uelewa wa Pesa za Bank as in Finance Management ?? (Well YES)

Hzo imani potofu za hela za mazingaombwe sijui nn. Well Big NO !!

Ingekuwa hvyo magicians wangekua wanakimbizana na Bill Gates kwa mafuba.
 
SAWA
 
chuma ulete hata mimi haniibiiii..

kwanza advertise sehem nayoweka hela hakaribiii mtu hata mama yangu haijui
 
Naamini mnaendelea vema na shughuli za kila siku poleni kwa majukumu maana changamoto zimekuwa nyingi.

Kuna swali ambalo huwa najiuliza kila siku kutokana na yale unayokuta wakati mwingine yakiongelewa mtaani. Kuna watu huwa wanalalamika kuibiwa pesa kwa njia za miujiza "chuma ulete" na nimekuwa ninazisikia ni muda sasa, lakini ninakuwa ninajiuliza kama huu wizi wa technologia kama hii upo?

je kwa nini hawa wataalamu wasiende kuiba benki kwa namna hii? ninakosa majibu ndo maana nikaamua kuuweka hapa wenye uelewa na hili wanisaidie benki huwa wanalindaje pesa yao dhidi ya chuma ulete? au hiki kitu hakipo?
ahsanteni.
Tatzo benk hawarudishi chenjiwangekuwa wanatoa chenji haaa we ungesikia2
 
chuma ulete hata mimi haniibiiii..

kwanza advertise sehem nayoweka hela hakaribiii mtu hata mama yangu haijui
Kwa jinsi ulivyoandika unaonekana tu maskini, zama hizi kuna kuficha hela uvunguni? Eti hata mamako haoni duh.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom