Habari,
Mimi ni msichana wa miaka 22,nipo chuo nachukua "degree ya Computer Science".Kwa muda wa likizo ningependa kufanya kazi katika chombo chochote cha habari kwa kujitolea.Nia yangu ni kupata uzoefu kwani ni fani ambayo ninaipenda japo kwa sababu moja ama nyingine sikufanikiwa kuisoma moja...
Habari zenu wana JF,
Naomba kuuliza sheria inasemaje kuhusu watoto wanaonyanyaswa na mama zao wa kambo?
Yaani asubuhi nimeamshwa na kelele za mtoto aliyekimbilia kwa jirani kujificha asipigwe na mama
yake wa kambo ambapo pia hakupata msaada kipigo kiliendelea humo ndani kwa watu.Mimi nadhani ni...
Mh mama'ngu alikuwa mkali huyo
no.1,4,6 labda kama najua ameenda mbali sana ingawa pia watoto majirani walikuwa wananisemea akirudi'
no.3,5,7,8 sina kumbukumbu hiyo maana ilikuwa ukijaribu tu....
no.2 mmh hii sana tu.
Hivi ni kweli ukiruka stage unairudia ukubwani?
Habari zenu wakuu,
Jamani wengine sensa ndo kama hivi imetutema kama kuna mwenye kamchongo
kengine ka kusogezea siku vyuo vifunguliwe ajimwage basi
maana :lalala:.......
Habari zenu wana JF,
mimi bado ni mwanafunzi ila natamani kujijengea msingi wa kuwekeza katika sehemu
mbalimbali kwa kuanza na kidogo nilichonacho.Kuna maeneo ya kwetu hayana huduma ya M-Pesa na nadhani
inaweza ikawa sehemu ya kuanzia endapo nitapata msaada wa kujua ni vitu gani natakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.