Business online

Wakimbie kama ukoma, ni wahuni tu hawana lolote. mambo si rahisi kama wanavyodai! Usidanganyike!
 
Habari zenu wana JF,
Katika zungukazunguka yangu kwenye mtandao nimekutana na hii kitu wanaita Home Income Package
ambapo waweza kufanya kazi online na ukalipwa kwa application fee ya $24.97,naomba kuuliza hiki kitu ni cha kweli?
link yao hii kwa atakayetaka kujionea
News Weekly | Work at home mum makes £4,397/month working part-time from home

Glory91,
I have been for so long now dealing with work at home business. I can easily tell u which work at home opportunity is legit and which is not. Na katika haya mambo ya "Legit" haimaanishi kwamba will always be legit, but maana yake ni kwamba wahusika wamekuwa into operations for at least two years na kwa muda wote huo wamekuwa wakilipa members wao with only few shortcomings! Today's Legit opportunity(webiste) can be scam tomorrow.

Kabla sijaenda mbali, ogopa sana online opportunities ambazo zinakutaka ulipe kwanza! Ya, it's true kwamba zipo ambazo zinakutaka ulipe in advance na bado zikawa legit lakini nyingi zake ni scams! Angalizo lingine ni kwamba, ogopa sites ambazo presentation zake zinakuwa as if habari zake zinapatikana kupitai kwenye international medias....hawa utakuta wanaweka logos za medias kubwa kubwa kama BBC, CNN, NBC n.k huku wakijifanya "as seen on .....!" Wezi tu hao! Hawa jamaa wanachofanya ni as if kuna beneficiaries waliotoa ushuhuda kwenye media fulani wakati sio...mfano rahisi ni kama wafanyavyo magazeti ya Udaku hapa nchini. Unaweza kukuta habari juu ya mtu aliyeteseka sana kuhusu ugonjwa fulani kisha mwishoni mwa habari hiyo unakuta namba ya simu ya mganga ambae alimsaidi muathirika! Usipokuwa makini, unaweza kuzani hiyo ilikuwa ni habari, kumbe kimsingi ni tangazo la huyo mganga kwa mtindo wa habari.

If You're not sure, don't invest in any work at home opportunity through website ambayo haina members' forum au ambayo haina link to social network website kv facebook, twitter, myspace nd the like. Members forum ni muhimu sana kwani huko ndiko unatarajia kukutana mawazo ya watu mbalimbali kuhusu site husika. Kama members forum hamna, basi at least kuwe na links zinazowakutanisha members kwenye social networking websites kv facebook. Hao jamaa, ni very professional scammers.....kwenye site yao kuna vitufe vya facebook, twitter, digg and the like...but funny enough, (hivyo vitufe ambavyo ungetarajia vikupeleke kwenye social networking ambako ungekutana na members ambao wangetoa picha halisi ya huo mtandao) havipo active!

All in all, kama unataka kujaribu online opportunities; ningekushauri anzia hapa: NeoBux: The Innovation in Paid-to-Click Services . Hao jamaa wapo in business for about 5 years now na ni one of the most trusted PTC (Paid To Click) duniani. Hata ukiingia kwenye mtandao (
http://www.ptc-investigation.com) ambao una-review hizi sites; utawakuta NeoBux: The Innovation in Paid-to-Click Services wapo kwenye Elite List. Pamoja na Elite category, category zingine ni Legit, OnGoing, Watch List and Not Recommended Category. Elite List ndiyo the best list.
The following, are definitions for each category:

ELITE LIST:
This our elite list. This list will be small. Only the best of the best will go here. Note that being the best does not imply higher earnings. It only implies the site is still online and paying without major problems for over 2 years. As many of you know most sites do not stay online that long. If a site is still online and paying for over 2 years then obviously they are doing something right. Whether or not you agree with the earning potential.

LEGIT LIST:
Legit means that the site is currently showing proof that it pays. It does not mean it can't go scam tomorrow. Sites will go on this list if the site is paying and there are no major issues with this site. However it's status can change quickly.

We do not recommend buying or upgrading on these sites. Not until you have been paid and they have been online for at least year, if not longer. These sites may be paying today, but tomorrow, they may turn scam.

ON GOING LIST:
These are sites that are either too new, under new ownership, was once a forced investment site within the past 6 months, site lost database, or we can not make a clear judgment on their status. They also can be controversial sites that people can not agree on whether or not they can be a safe site to use.
Most sites on this list have minor glitches or are too new. We do not endorse, nor deem them as a scam. They have yet to prove themselves and will remain on this list till they have proven their worth.

THE WATCH LIST:
A site will go on our Watch List:
· Nulled Script (stolen layout or site)
· A discrepancy was found that made the site look suspicious
· Delays in payments or not paying within their own terms.
· Paypal, Payza (formerly known as AlertPay), or some other payment processor frozen their account.
· Too many sites ran by one owner and many of them not paying...
· Site showing for sale and no warning for members - Since the site's future is in question and investors are @ risk
·
NOT RECOMMENDED LIST:
A site will go on this list if it has these combined issues:
***not paying, forum removed, too many complaints and negative comments are found, unstable (comes and goes), abandonment (owner disappears from the forum), ties with or is owned by a previous scammer (history of scamming people or closing sites without paying), Deceiving and is "too good to be true" (ex: paying $100.00 per ad!) , Constant Viruses showing in ads or on the site itself for a long period of time, Zero Support and no communication coming from site days or weeks. Many problems go ignored and unsolved for months., Site was sold with a large amount of debt and balances were reset without compensation, Resetting or moving earnings & balances, Site pays, then stops paying or constantly refuses to abide by their own terms/payout policy,Selective payments. Paying new members over old to avoid paying out larger balances, A former scam site with a long history of scamming sold to a new owner. These sites are not easy to promote and have a bad rep, Low Ad count for all locations for long period of time (months)

TRUTH ABOUT NeoBux: The Innovation in Paid-to-Click Services.

Like many, if not all PTC, you don't have to pay anything to be a member or earn through
NeoBux: The Innovation in Paid-to-Click Services .You can earn income just by viewing advertisements posted on the site. Hata hivyo, to be honesty, you can only earn some few USD Cents. Ili ku-earn enough income, kiukweli kabisa unatakiwa ku-upgrade your membership to at least Ordinary Golden Membership na ku-rent referrals. Hii option ya ku-rent referrals ndiyo hasa inayonifanyaniupende huu mtandao nikiulinganisha na mtandao mwingine wa http://www.clixsense.com/?4209540 .Hawa nao, wapo kwenye Elite List, lakini hawana hiyo option ya referrals renting! The later, you can only earn using ur own effort only while the former, you can earn through your own efforts and your referrals! Therefore, kwa mtu mwenye kauwezo kidogo, basi the best site ni the former one; lakini kwa mtu asiye na uwezo, then all of the above sites are ok.

Kama kuna mwenye swali lolote, uliza and i'll help!
 
..Mkuu NasDaz, kwa vile wewe mwenzetu una muda una-deal na hii kitu 'Work @ Home Business', tungeshukuru sana kama unaweza kutupa japo kwa juu juu kwa uzoefu wako, nini hasa unachofanya, unacholipwa, unavyolipwa na kadhalika maana hapa wengi tuna comp ambazo kazi yake pekee ni ku-Log Inn JF! Tutakushukuru ukiweza kutupa mwangu wa kuzitumia kwa kujiongezea kipato. Ubarikiwe.
 
..Mkuu NasDaz, kwa vile wewe mwenzetu una muda una-deal na hii kitu 'Work @ Home Business', tungeshukuru sana kama unaweza kutupa japo kwa juu juu kwa uzoefu wako, nini hasa unachofanya, unacholipwa, unavyolipwa na kadhalika maana hapa wengi tuna comp ambazo kazi yake pekee ni ku-Log Inn JF! Tutakushukuru ukiweza kutupa mwangu wa kuzitumia kwa kujiongezea kipato. Ubarikiwe.

Ok mkuu, umesomeka.....i'll explain abt it soon..!! It's very unfortunately tht nimeona hii post yako wakati nipo kwa job.
 
Back
Top Bottom