Recent content by GLORY TO GOD

  1. GLORY TO GOD

    JamiiForums Tanzania Post ipi ilogusa hisia zako jf 2012?

    Habari wadau! husika na kichwa cha habari hp juu,ni post ipi na ya nani ilikugusa kihisia iwe furaha au huzuni,na kwa kigezo kipi utaendelea kuikumbuka?
  2. GLORY TO GOD

    JamiiForums Tanzania Nimeipenda hii Picha ya Mwasiti wa Bongo Movie

    ----- huyo hayo mavazi c yakunywea pombe.
  3. GLORY TO GOD

    JamiiForums Tanzania Babu Asprin anatongoza hapa

    au mjukuu unatudanganya/
  4. GLORY TO GOD

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii Sajuki afariki dunia

    eeeeeh we ndugu mbona unapenda kushushua shua wadau wenzako?na c mara1 kuliona hili jambo kutuc au kuumbua comment na post za wengine? uliza basi jamani kwa nn mme like?watakupa sababu,kwa upeo wk utaic wame like kifo,ila huenda wame like kufkishiwa habari, JIREKEBISHE BWANA WE ARE DE SAME...
  5. GLORY TO GOD

    JamiiForums Tanzania Faida 10 za kupiga punyeto!!

    c bora mars!ni freemason hao.
  6. GLORY TO GOD

    JamiiForums Tanzania Tafadhari!!Naombeni Tenda/Kibarua!

    akush2e nani jipu weweee,angaika na ww pia.
  7. GLORY TO GOD

    JamiiForums Tanzania free usage of startimes

    Gharama zinapotokea hazioni m2 ambae hana upeo wa mbali.
  8. GLORY TO GOD

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kwa demu huyu???

    ww unajua maana ya "HAKI"? hamna mwenye hk ya kimaumbile zaidi ya mume na mke.
  9. GLORY TO GOD

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kwa demu huyu???

    zinaa mmeiendekeza sana vijana,na ngono ndo mnaona ujanja,nenda ukakanyage miwaya, kama humuogopi mungu alokataza zinaa uogope ukimwi. KUMBUKA IPO SIKU UTAISHI CHINI YA ARDHI BL SOLAR POWER WALA KIYOYOZI,JOTO NA ADHABU KAMA UTAKUA MTENDA MAOVU.
  10. GLORY TO GOD

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kufanya mapenzi nini tatizo?

    Tatizo ni kwamba unavofanya mapenzi kabla ya ndoa mungu huchukia na siku hiyo kadhihirisha hasira zake kwenu. Fanya toba na usubiri ndoa.
  11. GLORY TO GOD

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mke wangu, nimechanganyikiwa! Ushauri tafadhari...

    Pole mkuu,ushauri wangu kwako kuwa hamna tatizo jipya ktk hii dunia yaliwakuta wengi hivo basi usifanye maamuzi ukiwa na hasira hayatakua sahihi,na wazazi wako hawawezi kukupotosha na siku zote wanakutakia mema fata ushauri wa wazazi,huku ukiwaurumia watoto. Kufanya kosa si kosa bali kurudia...
  12. GLORY TO GOD

    JamiiForums Tanzania Mrindimo unakosesha amani.

    Nahisi mna nifananisha na GLORYTOGOD,Nimegundua jana km kuna m2 mwengine anatumia identity kama yangu dat y inaleta confusion. by de wy msaada kwa anaejua hiyo dawa ya kuondosha mlio huo skioni.
  13. GLORY TO GOD

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

    wenye akili km ww lazima ugundue,huyo ni chizi fresh.
  14. GLORY TO GOD

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

    ungeenda kuhubiri neno la mungu ningekuona wa maana kuliko kutumia nguvu kwa m2 ambae kichwanizero km jn lk.
  15. GLORY TO GOD

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

    umeona eeh!washapigwa mihuri toka 2mboni, alafu nimegundua k2 kuna watu huwa wanakosa chakuandika khy anabudi post akichangiwa comment nyingi roho burudani,wa2 kama hawa wadau 2wapotezee2.
Back
Top Bottom